Mungu ni yeye yule jana Leo na neno lake la dumu milele, nyimbo zake zote hakuna neno la Mungu bali kamtaja Mungu tu kama waimbaji wa kidunia na kuimba mipasho. Kwa wenye mtazamo wa kidunia hizo nyimbo zake ni nzuri na zinawafurahisha kuwa ni za dini ndio maana anaitwa fiesta. Yesu alisema atakayemkana mbele za wanadamu nae atamkana kwa baba Yake mbinguni, ficha ujinga kaa kimya kama neno la Mungu hulijui na hulipendi.Uyo dogo kajitaidi sana kufanya mapinduzi kwenye nyimbo zakumtukuza Mungu.Nyimbo nyingi tunazoita za injili huo mtindo ni watu walioubuni kwaiyo kama kuna mtu kajitokeza kufanya maboresho kwa namna alivyoona mimi sidhani kama ni kosa.Mambo mengine tumekariri tu bila kujua dunia imetoka mbali na kumekua na mabadiliko kila zama zinapofika.Nyimbo yoyote yenye mahudhui yakutukuza Mungu ni nyimbo ya dini ndo maana kabla ata ya yesu kristo kuja watu walikua wanaimba tena kwa namna mbalimbali kuliko hizi tunazoimba leo.Kwaiyo hao watumishi wamwache uyo dogo afanye kile anachoona chafaa kwa Mungu wake na maisha yake maana uimbaji ni ajira pia.mengine tumwachie Mungu mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app