Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Binafsi sioni tatizo kwenye uimbaji wake, kwani naona ujumbe naupata tu ninapo sikiloza nyimbi zake, hao ambao hawamuelewi ni wao na tabu zao ,
 
 
watu bhana..mnapenda sana kujudge vitu..yani mnajiona nyny ndo mnamjua Mungu kuliko wengine..embu tuchukulie mfano USA mwanamziki wa HIP HOP Kanye west ametoa album ya JESUS IS KING..album nzima ni nyimbo za dini tu..ingekuwa Bongo hapa c ndo mngebwabwaja hd mkaukiwe mate..achen watu na maisha yao bhana..fanyeni yenu..kama hajavunja sheria ya nchi Yupo SAWA tu...tatzo ni perception zenu ndo znawasumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanye WEst ametimiza andiko "msipo hubiri hata mawe yatahubiri" so anatumika tu na hapa Tanzania hatuna shida ndiyo maan DIAMOND PLATINUZM aliimba kuhusu Yesu na hatuku piga kelele maana naye ni JIWE TUila ingekuwa Christina shushu kaimba kuhusu Mtume mwamdi ingekuwa maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…