Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Kijana yuko safi kabisa,hata mimi wa upande wa pili namsikiliza,tatzo wengi wenu huko upande wa born again ni walugaluga,washambawashamba ndo maana hata mavazi yenu ya hovyohovyo,yakizamaani.Ingawa siwezi walaumu maana wengi wao ni wakuja.
 
Mkuu ni wewe nini katika sura nyingine
 
Mnataka atinge ile misuti ya orange kama agent wa hallotel na shati la kung'aa ndio mtaamini kua anaimba nyimbo za Injili...?Hapo waimba Injili watabaki wanyakyusa tu maana wanajua kutupia crazy colour mpaka barabarani nawachanganya na askari wa usalama barabarani na yale ma-reflector [emoji23]
 
Kijana yuko safi kabisa,hata mimi wa upande wa pili namsikiliza,tatzo wengi wenu huko upande wa born again ni walugaluga,washambawashamba ndo maana hata mavazi yenu ya hovyohovyo,yakizamaani.Ingawa siwezi walaumu maana wengi wao ni wakuja.
[emoji1] [emoji1]
 
MUNGU WANGU...[emoji1]
 
Huyu muhuni achague moja kati ya baridi au moto

Kwenye dini Hamna usela km anavyojiaminisha yy

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…