Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Kuna waimbaji wa nyimbo za Injili na wasanii wa Nyimbo za Injili hawa ni tofauti kabisa
 
Ambwene Mwasongwe injini ya Yesu ile, kaanza mda mda kazi zake, ukimwona kama wa jana vile Yesu anamtunza.

Kizazi cha akina Gosbet cha starehe na fashion... Wanamwimbia Mungu kwa kubana pua..mavazi ya kisaniiiiii...tulizoea miaka ya kati hapo akina Bony Mwaitege mikoti mikubwa mpaka ktk magoti..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo jina la Yesu lina nguvu zaidi ya Mungu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mtumishi wa Mungu utakiwi kuwa sharo mbona wapo wengi wazuri kwa kuvaa na wanajua kumtumikia Mungu why Goodluck gozbert
wewe ni nani yake afadhali simfahamu ila ngoj nimsake

mbona hii kama si nyimbo ya dini sasa?




 
Napenda nyimbo zake lakini sipendi anavyojiweka, anakuwa km kunguru bwana na vile vinguo vyake km anqtakq kurukq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…