Ulifanya la maana snJana Ulirudi Usiku
Huyu alinikuta niko na mke wangu tumekaa mahali akaleta zile za kukonyeza nikamtuma mtu ampe onyo, nilivyoenda enda washroom nikakuta amekuja kwenye meza yangu kumtongoza mke wangu nilimzaba kofi moja zito sana akarise pale ilikuwa nimmalize siku ile sema tu watu waliingilia pale nikaamua kuondoka kwa amani.
π€£π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ . Mimi na instagram wapi na wapi! Haya alamsiki ila usiwatetee tena hao jamaa kwa sababu nawajuwa wengi wenye tabia kama aliyoelezea jamaa.Uandishi wa Instagram huu, huku umepotea njia.
Nenda Michambo city ukachambane na mashoga wenzako.
Alamsiki.
Umesema kweli kabisa. Ni tabia zao kutokana na mazingira waliyopata kazi. Wengine wamepitia hii idara ya CCM ya kujipendekeza kwa viongozi na kusifia kila kitu.Hao hata uwalipe mamilioni kila mwezi hawatalidhika hata kidogo,
Hizo ndio tabia zao,ajira wamepata kwa kubebwa,kichwani ni zero,ajira kama hizo ilibidi wapewe vijana wenye akili zao na Elimu iliyokaa vzr,sio Hawa waliokuwa wavuta bangi shuleni wanabebwa na baba zao,
Hii Idara ilibidi ifumuliwe yote iundwe mpya kabisa na ajira zake zisifsnywe kwa uendeleo
Njia zako 15? Za kumuua nani huyo kaka?Mimi moja lazima ama zake ama zangu na ikibidi hata kuuana kwa sumu itabidi nikishindwa njia zangu kumi na tano ambazo nimechambua na kuweka kifuani mwangu , sumu ni ya mwisho
Unawashwa?Wewe nawe ni fyongo tu. Unaishi nchi gani unataka kuja kudanganya hapa. Unadhani hatuwajui? Au na wewe uko huko na umekuja hapa kutetea ujinga wenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikujua uzi uneendelea na nimetusiwa aisee.Uandishi wa Instagram huu, huku umepotea njia.
Nenda Michambo city ukachambane na mashoga wenzako.
Alamsiki.
Mwambie jaji kuwa hakuna tofauti yotote ile kati ya MATAGA na UVCCM kwakua wote ni vibaka wa lumumba[emoji23][emoji23]To me there is no difference between MATAGA and UVCCM........
Idiot!
Ndio mkuu. Ni baadhi yao tu wenye tamaa hasa waliotokea MATAGA. Kwanza wanakuaga informers tu hao washamba. Mule kila mtu na proffession yake..Hawa itakuwa wanalipwa mshahara mzuri tu, ila tatizo lao wanataka kula bata kila siku! Hela haitatosha tu!
Kwani hawa watu hawaruhusiwi kufanya hata biashara ili kujiongezea kipato nje ya mshahara?
Inaonyesha una mke mzuri.Jamaa alikuwa amekariri ule usemi wa "Kizuri kula na wenzako".Mke wangu si bar maid ila hata nature yao inasidiki hawatulii na familia zao muda wote wananusa nusa kutafuta wake za watu ila alichokipata atanikumbuka hadi atakapo staafu, pia waambie ma boss wenu wawaongezee mishahara muache kukopa hovyo na kutapeli watu mitaani
Na hilo jina lako la MIDAZOLAM bila shaka utakuwa ni mjuzi wa wa masuala ya SUMU/POISONING.Mimi moja lazima ama zake ama zangu na ikibidi hata kuuana kwa sumu itabidi nikishindwa njia zangu kumi na tano ambazo nimechambua na kuweka kifuani mwangu , sumu ni ya mwisho
Umeongea ukweli kabisa mkuu, wanaokotwa vijana ambao uwezo wao ni duni hasa hata kama watapikwa ila wengi wao bado wana ushamba na ulimbukeni wa ajabu mno.Hao hata uwalipe mamilioni kila mwezi hawatalidhika hata kidogo,
Hizo ndio tabia zao,ajira wamepata kwa kubebwa,kichwani ni zero,ajira kama hizo ilibidi wapewe vijana wenye akili zao na Elimu iliyokaa vzr,sio Hawa waliokuwa wavuta bangi shuleni wanabebwa na baba zao,
Hii Idara ilibidi ifumuliwe yote iundwe mpya kabisa na ajira zake zisifsnywe kwa uendeleo
Afadhali umeongea, wanatia huruma sana kula kwa shida kulala kwa shida na wananuka madeni kupita kiasi. Mpaka unaishia kusema huyu ni ofisa kweli ama ni muhudumu wa canteen π π ππ€£π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ . Mimi na instagram wapi na wapi! Haya alamsiki ila usiwatetee tena hao jamaa kwa sababu nawajuwa wengi wenye tabia kama aliyoelezea jamaa.