miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Nikikutajia watakusaidia nn mkuu? Pambana na hao matapeli wako hapo wa MATAGA[emoji23]Unafahamu aina ngapi za infomers na majukumu yao ni yapi hasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Halaf kuna huyo akaanzishaga slogan yake ingine nimeisahau ila haikuhit. Ikapotea
Ni MATAGA lialia huyo. Na hajawahi vaa kaunda huyu fala. Sema sina story nae. Mataga siyo binadamu[emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app