Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Unafahamu aina ngapi za infomers na majukumu yao ni yapi hasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Nikikutajia watakusaidia nn mkuu? Pambana na hao matapeli wako hapo wa MATAGA[emoji23]

Halaf kuna huyo akaanzishaga slogan yake ingine nimeisahau ila haikuhit. Ikapotea
Ni MATAGA lialia huyo. Na hajawahi vaa kaunda huyu fala. Sema sina story nae. Mataga siyo binadamu[emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… unaona unaongea kitu ambacho hujui halafu nani kakuambia infomer ni ofisa?
 
Leo nenda kidimbwi utawaona mara mara moja uwe unakimbia vijiwe vya kahawa utawaona tu wanalewa hovyo kwa fedha za mikopo.
Beach Kidimbwi huwa ninakwenda mara nyingi tu sijawahi kushuhudia jitu linajitambulisha kuwa linafanya kazi huko....sema siwezi nikakusemea wewe.....binafsi sijawahi kwa kweli.....

Kwa hiyo iko siku utakwenda tena kumtega adui yako AJAE nyavuni umlipue kishari?!!🀣🀣

Mkuu muogope Mungu....humu mitaani huwa tunaoneana kwa mengi tu.....wengine ni wapuuzi tu....muhimu KUWAPUUZA TU...
 
🀣🀣Mkuu unawachukia sana MATAGA....isije ikawa "ulimuwowa mmoja handsome" akakulia PESA ZAKO na ukaibiwa na mjanja mwenzako wa mjini sasa leo kila mmoja wao ni "punching bag" lako ha ha ha ha
 
🀣🀣🀣🀣 mimi si mtu wa shari ni mtu wa amani sana
 
🀣🀣Mkuu unawachukia sana MATAGA....isije ikawa "ulimuwowa mmoja handsome" akakulia PESA ZAKO na ukaibiwa na mjanja mwenzako wa mjini sasa leo kila mmoja wao ni "punching bag" lako ha ha ha ha
Huyu miss pablo ndio wale aina ya wanawake ambao wakijua fulani ni mwewe basi hujongea mwenyewe kwenye kiota bila nguvu. Ndio hawa wakiliwa wanapayuka hovyo πŸ˜…πŸ˜…
 
Huyu miss pablo ndio wale aina ya wanawake ambao wakijua fulani ni mwewe basi hujongea mwenyewe kwenye kiota bila nguvu. Ndio hawa wakiliwa wanapayuka hovyo πŸ˜…πŸ˜…
🀣🀣🀣Si kwa povu atoalo....isije kuwa kahudumia sana "blaza la Mataga" Sasa anaugulia maumivu ha ha ha WAHUNI SI WATU....
 
🀣🀣🀣Si kwa povu atoalo....isije kuwa kahudumia sana "blaza la Mataga" Sasa anaugulia maumivu ha ha ha WAHUNI SI WATU....
Mchezo wa Polepole huo hujiulizi kwanini wasaidizi wake wote ni Ke
 
Ndo maana namkatalia. Maafisa hata siku moja. Yaani kujitambulisha its like their death sentence

Namwambia anakumbana na haw amainformers viherehere na akina mataga hatuelewani.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Pia wanafujo barabarani na gari zao za mikopo na wengi ukiwafuwafuatilia ni wametoka interior huko wakifika dar ni fujo fujo πŸ˜€
Ila mkuu hao jamaa utakuwa unawajua mno....🀣

Yaani kila mwenye fujo barabarani ni hao jamaa duuh?!!!

Kuna kipindi huku barabarani kila mwenye misuli ya cheo/fedha/ubini/uzawa/umaarufu huwa ANA FUJO SANA.....Sasa unawezaje kuwatofautisha?!!!😳😳🀣
 
[emoji1787][emoji1787]Mkuu unawachukia sana MATAGA....isije ikawa "ulimuwowa mmoja handsome" akakulia PESA ZAKO na ukaibiwa na mjanja mwenzako wa mjini sasa leo kila mmoja wao ni "punching bag" lako ha ha ha ha
Hapana mkuu, nawachukia kwakua wanaturudisha nyuma. Wako.UVCCM wanajielewa sana. Hawapendi ujinga. Ila mataga wako kimaslahi zaidi

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Wana mitaa yao maalamu ikiwemo kidimbwi πŸ˜… wafikishie ujumbe waache ulimbukeni wakiwa miji ya watu.
 
Huyu miss pablo ndio wale aina ya wanawake ambao wakijua fulani ni mwewe basi hujongea mwenyewe kwenye kiota bila nguvu. Ndio hawa wakiliwa wanapayuka hovyo [emoji28][emoji28]
Wewe ongea yote. Nisemee yote. Ila mkeo wameshapita nae. Usinirudishe huko... na wala usiniperonate na mambo kwa hisia zako. Hao mataga wewe waundie tu zengwe. Ni waoga balaaa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…