Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu ukapate kupanda madaraja.. u are very humbled. Watu wema bado wapo. Sema sasa watu nao wakioataga madaraka wanabadilika mno aisee... na wanakua tayari kulinda vyeo vyao kivyovyote.vile.. hope u wont change

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mbele ya nyimbo La Isla Bonita ya Madonna unalika kiulaini tu, kama UVCCM wameweza mimi nitashindwa vipi? 😅😅
 
Huyu mwamba hana makuu na watu, ila tayari anashakula teuzi anakula mema ya nchi katika awamu ya sita, awamu ya tano ilimtenga kidogo.
 
Huyu mwamba hana makuu na watu, ila tayari anashakula teuzi anakula mema ya nchi katika awamu ya sita, awamu ya tano ilimtenga kidogo.
Woow
Mungu ni mwema sana.

Hata wewe mkuu, u are very humbled. Nikakuhukumu kwa huu uzi nitakua ninekukosea sana. Kila.mtu ana namna ya kupunguza hasira zake. Wanawake tunaishi sana kwakua tukikasirika tunabongaaa[emoji23] inatusaidia sana aisee. Nyie ni ngumu sana. Wanaume huwa si waongeaji. Ijapokua wapo wenye gubu..wewe yawezekana si muingeaji ila ukaona kwkaua kuna hii platform acha uje utolee uvivu hapa. And it made u feel better. Mengine hapa tunachat ni masikhara tu mkuu na kusogeza muda. Ila achana na hao mataga[emoji23] kama una bastola fanya kama zakaria. Ila usijepelekwa kituoni ukabadilishiwa majina aisee[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kwanini ulazimisha wawe mataga unafikiri hao ma ofisa ni malaika wana mauchafu yao mengi ndio maana wanaishia kupelekwa kuwa ma FO, usiwakingie kifua kwa kuwa una mwanamme kule 😅😅😅
 
Kwanini ulazimisha wawe mataga unafikiri hao ma ofisa ni malaika wana mauchafu yao mengi ndio maana wanaishia kupelekwa kuwa ma FO, usiwakingie kifua kwa kuwa una mwanamme kule [emoji28][emoji28][emoji28]
Nimekuambia si kila.kitu uchukulie serious. Hakuna mahali pakawa perfect aisee. Wapo wachafu. Halaf unanipaje wanaume wa hii idara aisee. Watu wanakulana depo kama wanyama. Hebu acha kunikosea mkuu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Umeona sasa kumbe hujatulia hata, wewe ni bure kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe ndiye uliyeona kwamba unaweza nipata ukitaka. Nami nimekujibu na nakujibu tena, hii siyo public pastry. Hili siyo donat kila mtu ale kwa access yake. I can be all gang but ikija kwenye mali yangu hapana. Mkeo ndo umkanye umeilipia.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ulimbukeni na kutaka pisi za masela
 
Thank you awesomely 🙏

You too amen 🙏

Malezi ya utotoni huchangia TABIA ZETU UKUBWANI.....

All and all kuna watu huitwa "washamba smarts" 🤣🤣Hao huwa na tabu hata wasipokuwa na nafasi....balaa hutokea pale wanapokuwa na nafasi ha ha ha wengine tutatamani tuingie ardhini....hao wako "all walks of life"🤣
 
Huyu mwamba hana makuu na watu, ila tayari anashakula teuzi anakula mema ya nchi katika awamu ya sita, awamu ya tano ilimtenga kidogo.
🤣🤣Hapana komredi wangu...

Unajua nini mkuu?!!!

Wanaonijua watakuambia....msimamo wangu juu ya CCM haubadiliki....niko "very active and loyal" toka awamu ya 4 na nitaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa uhai wangu.....mimi sijaletwa CCM kwa "upepo wa kisulisuli"🤣🤣

Mimi ni CCM wa itikadi haswa na "flexible" na si kama kaka mkubwa Humphrey Polepole.....ha ha ha
 
🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] aiseee..... kazi ipooo. Halooo.... ila fresh tu. Uzidi kuimarika
Ila.posho zitapunguzw mukizidi kuwa na michepuko mkuu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ile.clip anapiga dana dana ofisini bana[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] aiseee..... kazi ipooo. Halooo.... ila fresh tu. Uzidi kuimarika
Ila.posho zitapunguzw mukizidi kuwa na michepuko mkuu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Yap yap maisha ni safari komredi🤣🤣

Kuhusu michepuko ni hulka tu mkuu wangu....huku kitaa wako "Wana" saidia fundi ujenzi....jioni wakipewa kifuta jasho kiduchu huiongeza tu "michepuko katika mabanda ya Komoni" 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…