miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji23] wakishalewa wanageuzana tu. Ila uanaume ni kazi ngumu sana....Yap yap maisha ni safari komredi[emoji1787][emoji1787]
Kuhusu michepuko ni hulka tu mkuu wangu....huku kitaa wako "Wana" saidia fundi ujenzi....jioni wakipewa kifuta jasho kiduchu huiongeza tu "michepuko katika mabanda ya Komoni" [emoji1787][emoji1787]
Acha tu.....tucheke kama mazuri....🤣🤣 Ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23] wakishalewa wanageuzana tu. Ila uanaume ni kazi ngumu sana....
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ccm hakuna itikadi tena, bali kila aliyepo ccm ana sababu zake binafsi sirini ni kwa nini yupo ccm, lakini kikubwa ni maslahi binafsi, upambe, connection na woga usiyokuwa na sababu, fear of unknown.[emoji1787][emoji1787]Hapana komredi wangu...
Unajua nini mkuu?!!!
Wanaonijua watakuambia....msimamo wangu juu ya CCM haubadiliki....niko "very active and loyal" toka awamu ya 4 na nitaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa uhai wangu.....mimi sijaletwa CCM kwa "upepo wa kisulisuli"[emoji1787][emoji1787]
Mimi ni CCM wa itikadi haswa na "flexible" na si kama kaka mkubwa Humphrey Polepole.....ha ha ha
Yaani inauma tumemzika kijana juzi kwa huo ugonjwa jamani. Ndo ugonjwa kwa mara ha kwanza nausikia. Hizi pombe hapana[emoji119]Acha tu.....tucheke kama mazuri....[emoji1787][emoji1787] Ha ha ha ha
Huko mabanda ya Komoni yaani jamaa ni full aibu....ni kweli hayo mambo yako duuh [emoji1787][emoji1787]
Dunia hii.....
It's havoc....Yaani inauma tumemzika kijana juzi kwa huo ugonjwa jamani. Ndo ugonjwa kwa mara ha kwanza nausikia. Hizi pombe hapana[emoji119]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Duuuh 😲😲 mkuu kwa kuwa UMEONGEA KWA HISIA ZAKO mimi nitakueleza UHALISIA upi tena?!!!Ccm hakuna itikadi tena, bali kila aliyepo ccm ana sababu zake binafsi sirini ni kwa nini yupo ccm, lakini kikubwa ni maslahi binafsi, upambe, connection na woga usiyokuwa na sababu, fear of unknown.
Hakuna Itikadi ccm.
Tatzo ni kwamba siku hizi wanaajari bila kufuata taratibu. Matokeo ya kurithishana wanawapa kazi hizo hata vilaza wasiojua utaratibu wa kaziJana Ulirudi Usiku
Huyu alinikuta niko na mke wangu tumekaa mahali akaleta zile za kukonyeza nikamtuma mtu ampe onyo, nilivyoenda enda washroom nikakuta amekuja kwenye meza yangu kumtongoza mke wangu nilimzaba kofi moja zito sana akarise pale ilikuwa nimmalize siku ile sema tu watu waliingilia pale nikaamua kuondoka kwa amani.
Acha uongo diwan hajawah kufanya kazi kataviHuyu Diwani Athumani ni Tiss kitambo tu, nchi ilivyokabidhiwa kwa washamba akapigwa demotion ya kuwa RAS huko katavi, kumbe yule mzee wa chuki hakujuwa kwamba huyu jamaa ni kazi maalum ndipo akaumwa sikio hapo umechemka huyo ni kitengo, Finally Diwani amerudi nyumbani ndio DG wa TISS sasa.
Naona ameamua kukupumzikia mtu ambaye amewahi kua demoted na kuoa Ras katavi ni yule aliyekua kamishna wa mafunzo na operation ya polisi TanzaniaMatola maneno mengi kumbe famba tu.
Yaani inaumaaa.. hilo la nyuma naambiwa lilitoka akalirudishia na mkono[emoji24]It's havoc....
Inaumiza mno......
Jamaa ni kweli kabisa wanapelekeana "moto"....
Kuna UBANDA mmoja ukutani wameuandika "kunywa kwa tahadhari ,linda "mat ...o" yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatareeeee
Naona ameamua kukupumzikia mtu ambaye amewahi kua demoted na kua Ras katavi ni yule aliyekua kamishna wa mafunzo na operation ya polisi TanzaniaMatola maneno mengi kumbe famba tu.
Sasa huo ndio utaperi?.Jana Ulirudi Usiku
Huyu alinikuta niko na mke wangu tumekaa mahali akaleta zile za kukonyeza nikamtuma mtu ampe onyo, nilivyoenda enda washroom nikakuta amekuja kwenye meza yangu kumtongoza mke wangu nilimzaba kofi moja zito sana akarise pale ilikuwa nimmalize siku ile sema tu watu waliingilia pale nikaamua kuondoka kwa amani.
Aiseeee duuuh 😪Yaani inaumaaa.. hilo la nyuma naambiwa lilitoka akalirudishia na mkono[emoji24]
Nduguze walimfata wakasema wanampeleka hospitali kumbe si kweli. Alienda pelekwa kwao huko kibamba mzaramo yule nyumba haina nlango wala dirisha mpaka umauti umemkuta[emoji174][emoji174] tuliumia mno kwann walitudanya jamani wanampeleka hospitali
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
.yaano... inaumizaa. Kutwa kubet tu. Haya madude ya mchina haya acha kbs. Ndo wanapatamo hela za pombe na bettingAiseeee duuuh [emoji25]
Tatizo wanaamua kuifanya pombe kuwa THERAPY ya matatizo yao....ona sasa "la nyuma limetoka"....kapelekwa uzaramoni nyumba mbavu za mbwa saaalaaleee......
Jamaa zetu Wapare wanasema "mjini wewe yaangalie tu" [emoji1787][emoji1787]
Hakika.....yaano... inaumizaa. Kutwa kubet tu. Haya madude ya mchina haya acha kbs. Ndo wanapatamo hela za pombe na betting
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wewe umekuja na maelezo ya utaperi. Watu wamekuomba useme walichokutaperi. Umegeuza lugha unakuja na maelezo ya mkeo kuombwa mbususu. Wewe ndio umetutaperi hapoNikiwaweka wazi wewe itakusaidia nini?
Hivi kwa nini huwa mnadhani umaskini ni sifa?Duuuh [emoji44][emoji44] mkuu kwa kuwa UMEONGEA KWA HISIA ZAKO mimi nitakueleza UHALISIA upi tena?!!!
CCM ni chama.....kimepitia mengi...kitapitia mengi.....ila bado KINAWAKILISHA MALENGO NA MASLAHI YA WATANZANIA WALIO WENGI MASIKINI.....
Moja ni amani na utulivu....
Ni CCM hiyohiyo iliyo madarakani toka 1977....kama imefanya MABAYA...basi pia huwezi kuitenga na MAZURI ILIYOIPATIA TAIFA HILI.....