miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Unapenda vita kama vile twita republic[emoji23][emoji23] umeshindwa tu kusema muuee[emoji1787]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda vita kama vile twita republic[emoji23][emoji23] umeshindwa tu kusema muuee[emoji1787]
Niwekee ganji niwe mshenga aolewe huyo 🤣🤣Ndio[emoji23][emoji23] ameniudhi sana. Analeta mambo ya kingai kama vile hajui matumizi ya PGO bana[emoji23][emoji23] namuoa halaf akileta ujinga nampigaaa kipigo cha kuchinjia nguruwe.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ha ha ha kakutana na waoaji wa mjini 🤣Unapenda vita kama vile twita republic[emoji23][emoji23] umeshindwa tu kusema muuee
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Unaona sasa ulivyo mjinga? Uniform za Maafisa usalama ni zipi?Watanifanya nini mbona ni viumbe wa kawaida sana na nipo nao hapa napiga nao supu na uniform zao, karibu sana ila nikupe pongezi tu kwa kuolewa na mmoja wao [emoji28]
Kapambaneni kudai katiba mpya, hilo siyo kosa la Tiss.TISS hawana siri za nchu, labda siri za CCM. hiyo idara ipo kwa ajili ya kuitumikia CCM tu na sio kulitumikia taifa.
Dume hilo mkuu, don't be fooled!Mzaha huu mtaalamu, huyu nikiamua namtoa kwa nguvu kwa jamaa yake atawatolea mahari viserengeti boys ambavyo huwa vina wapelekea moto pindi waume zao wakiwa kikazi.
Jinga kabisa wewe si unawaona hawa ni miungu ndio maana nikakujibu ni watu wa kawaida na niko nao nakunywa nao supu, halafu unang’ang’ania kuolewa inaonekana umeachika na unahitaji mtu nitakuunganisha na vijana usijali madam 😅See? Una ushamba bado..na haohao ndo wanamla mkeo. Pumbaf kbs. Usipokua makini nakuoa wewe[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
🤣🤣Mzaha huu mtaalamu, huyu nikiamua namtoa kwa nguvu kwa jamaa yake atawatolea mahari viserengeti boys ambavyo huwa vina wapelekea moto pindi waume zao wakiwa kikazi.
Hapanaa[emoji23][emoji23] ataniwowa yeye nimeghairiNiwekee ganji niwe mshenga aolewe huyo [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] na akikaa vibaya namtumikisha mpaka akomee. Amri ni moja tu akikaa vibaya mitamaa. Halaf ukute nguvu hana huyu ujue[emoji23][emoji23]Ha ha ha kakutana na waoaji wa mjini [emoji1787]
Sasa kumbe shida yangu ni ipi zaidi ya kupelekewa moto na hela zangu ninazo. Kama moto wako ni mkali nikuhonge[emoji23][emoji23] we mwenyewe kiserengeee ndo maana jamaa akamuibukia wife na pete zake za ndoa hapohapo ulipo ujue mjini kuna wanaumeMzaha huu mtaalamu, huyu nikiamua namtoa kwa nguvu kwa jamaa yake atawatolea mahari viserengeti boys ambavyo huwa vina wapelekea moto pindi waume zao wakiwa kikazi.
Ha ha ha ameshakulainisha tena ? 🤣Hapanaa[emoji23][emoji23] ataniwowa yeye nimeghairi
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Bibi yako weye ndo dumeDume hilo mkuu, don't be fooled!
Weweew[emoji23][emoji23] nani kakuambiaaa. Wewe vijana mbele ya macho yako wanakutawala uko hapohapo. Nyie kuna vijana wnaa dharau[emoji23][emoji23] ama ulishindwa lipa bill mkuu? Walikuhurumia usije osha vyombo.Jinga kabisa wewe si unawaona hawa ni miungu ndio maana nikakujibu ni watu wa kawaida na niko nao nakunywa nao supu, halafu unang’ang’ania kuolewa inaonekana umeachika na unahitaji mtu nitakuunganisha na vijana usijali madam [emoji28]
Ok
Na ww funguka mkuu...Unaweza funguka alikutapeli nini na namna ulivyo shughulika nae.