Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Woow
Mungu ni mwema sana.

Hata wewe mkuu, u are very humbled. Nikakuhukumu kwa huu uzi nitakua ninekukosea sana. Kila.mtu ana namna ya kupunguza hasira zake. Wanawake tunaishi sana kwakua tukikasirika tunabongaaa[emoji23] inatusaidia sana aisee. Nyie ni ngumu sana. Wanaume huwa si waongeaji. Ijapokua wapo wenye gubu..wewe yawezekana si muingeaji ila ukaona kwkaua kuna hii platform acha uje utolee uvivu hapa. And it made u feel better. Mengine hapa tunachat ni masikhara tu mkuu na kusogeza muda. Ila achana na hao mataga[emoji23] kama una bastola fanya kama zakaria. Ila usijepelekwa kituoni ukabadilishiwa majina aisee[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wewe si dume wewe?! Huna hata haya!
 
Hata waliomo humo bado ni matapeli kwelikweli yaani halafu ni washamba hasa wakiona mwanamke mweupe, kuna mmoja huo nimemkamatia gari yake hadi atakapo rejesha pesa. Uongo mbaya wanatia aibu sana hawa vijana wa Diwani
Ona ulivyopagawa, kwakuwa demu uliyegongewa ni mweupe basi unaendelea na mechanism yako ya one size fit all. [emoji42][emoji42]
 
Usifikiri watu wote wanashida na kazi, wao ndio mishahara haiwatoshi wanatoka kuja kukopa mitaani next time tutawashukulia sheria kwa kuwalaza ndani wakose kuripoti huko kazini kwao
sasa kama ulikuwa na uwezo wa kuwapiga shaba na kuwalaza ndani kwanin ulete thread ya kuwalalamikia jf wakati una mamlaka/cheo/uwezo huo.

au ndo umekuja kukusanya maoni kwa kazi maalum?
 
Kuna kijana anajaribu kunipa nyeti zenu
emoji23.png
emoji23.png
puuzi kweli... ama ukame unamsumbua?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kuna kijana anajaribu kunipa nyeti zenu[emoji23][emoji23] puuzi kweli... ama ukame unamsumbua?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Thibitisha 😅😅😅
 
Back
Top Bottom