Kwanini wauaji wa MO29 walitaka wagawane dhambi za mauti na wahudumu wa hospitali?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,809
Reaction score
6,948
Moja ya tuhuma zinazosambaa ni kwamba majeruhi wa maandamano ya MO29 walikuwa wanapelekwa hospitali wakiwa hai na waliowaleta wakawa wanawataka wahudumu wasiwahudumie majeruhi bali wawapeleke moja kwa moja mochwari. Hili jambo linafikirisha sana.

Linathibitisha siyo tu kwamba wauaji walitaka kuua idadi kubwa ya watu, ila walitaka wanaokufa wateseke. Ni kama ile video ya mtu anaambiwa akimbie halafu akapigwa risasi.

Kwenye hili la kutotaka majeruhi watibiwe, inaonyesha wauaji walitaka "kugawana dhambi" na wahudumu kama vijana wanavyosema siku hizi kwenye mambo ya connections.

Wangeweza kuwamaliza hao majeruhi huko huko wakapeleka hizo maiti hospitali. Ila wakaona hapana, tusifaidi hii dhambi peke yetu, ngoja tukashee na wahudumu wa hospitali.

CCM wamejivua ngozi ya kondoo, hatimaye tunawaona kwa jinsi walivyo mbwamwitu live bila chenga.
 
..imagine polisi anamwambia sista hivyo, huo ni ujasiri au kitu gani..? unatoa watu hospitali wakafe na majeraha wakati walikuwa wanapata tiba? na hospitali nyingi za serikali ikiwemo muhimbili walikuwa wanawatoa wagonjwa kuwapa polisi, itafaa sana utawala huu ukiondoka lazima management za hospitali husika zihojiwe, wauguzi wahojiwe ili kuleta nidhamu, hatuwezi kuwa jamii ya kutetea ushetani wa namna hiyo..lazima sote tufike mahali pa kukataa UOVU hata km anayetoa agizo ni rais km anaelekeza uovu ufanyike KATAA kuwa sehemu ya uovu!
 
Kama utawala huu utatoboa kwenye kadhia hii, wanaenda kuua sekta ya afya kama walivyoua sekta zingine kwa kuingiza siasa.

CCM na serikali zake imeua sekta zote kuanzia za elimu, kilimo, michezo, sanaa na hata biashara kwa ujumla kwa kutanguliza siasa za kutumikia chama mbele katika sekta hizo badala ya weledi wa kisekta.

Watawekeza nguvu kubwa huko katika Afya ili kutafuta "mchawi" na ndiyo utakuwa mwisho wa sekta hiyo.
 
..cctv footprints zipo, wote waliohusika wanajulikana..
 
Tayari wameweka nguvu kubwa Kupitia Mchengerwa, wizara ya afya naRidhiwani Kikwete, usalama Kuwateka, kuua, kuziba taarifa zote.
 
Huo ni mwanzo tu. Wanaenda kupachika na kujaza madaktari na manesi wa mchongo na watendaji mahospitalini na kusambaza uchawa katika kada ya afya.

Itafika wakati hata wagonjwa wataangaliwa ni wa mlengo gani wa kisiasa. Ukiwa wa upande ule, haupewi huduma au ndiyo wahudumu wanaambiwa "mpelekeni mochwari akaponee huko".

Tayari sekta ilikuwa kwenye hali mbaya, sasa imagine wakifanya hayo yote itakuwaje?
 
Katika utawala tulionao, zitasaidia nini? Pia sidhani kama maadili ya sekta ya afya yanaruhusu kuvujisha CCTV camera za chumba cha operation.
 
..iko wazi kabisa kwamba hao wamewekwa kuharibu ushahidi wa yaliyotokea, hata mtoto wa darasa la saba anajua kusudi la kuweka hao watu kwenye wizara hizo..halafu watanzania na hasa watumishi wa serikali wanakodoa kodoa macho km mijusi! hatuwezi kuwa jamii ya kijinga kwa kiwango hicho! mtu analinda uovu wazi wazi kabisa na watu wako kimya! dalili zote za nchi hii kuwa mateka wa watu waovu zote ziko wazi, na tusipochukua hatua watanzania..sote tumelaaniwa kwa kulinda UOVU!
 
Mchengerwa alisimamia wizi wa kura serikali za mitaa. Sasa hivi anajaribu kuficha maovu wizara ya Afya. Watu wote waliotupwa Mochwari wakiwa hai, majeruhi.
 
Katika utawala tulionao, zitasaidia nini? Pia sidhani kama maadili ya sekta ya afya yanaruhusu kuvujisha CCTV camera za chumba cha operation.
..huu utawala hauna mwisho?? una maana gani kusema kuvujisha? kutoa taarifa za picha kuonyesha ushahidi wa waovu ni kuvujisha? cctv inaanzia wapi ku-record picha? si mapokezi OPD..? hao polisi waliokuwa wanaingia hospitali walikuwa wanaruka ukuta? nani alikuambia chumba cha upasuaji kuna cctv camera..jaribu kufikiri bwn!
 
Walitupwa monchwari wakiwa hai na walitamani wapigwe sindano za sumu ili asibaki majeruh wa risasi lengo likafail,
 
..iko wazi kabisa kwamba hao wamewekwa kuharibu ushahidi wa yaliyotokea, hata mtoto wa darasa la saba anajua kusudi la kuweka hao watu kwenye wizara hizo..halafu watanzania na hasa watumishi wa serikali wanakodoa kodoa macho km mijusi! hatuwezi kuwa jamii ya kijinga kwa kiwango hicho! mtu analinda uovu wazi wazi kabisa na watu wako kimya! dalili zote za nchi hii kuwa mateka wa watu waovu zote ziko wazi, na tusipochukua hatua watanzania..sote tumelaaniwa kwa kulinda UOVU!
Tukikubali kuongozwa na akili Abdul, Samia, Mombo, Kikwete, tumeisha.
 
..huu utawala hauna mwisho?? una maana gani kusema kuvujisha? kutoa taarifa za picha kuonyesha ushahidi wa waovu ni kuvujisha? cctv inaanzia wapi ku-record picha? si mapokezi OPD..? hao polisi waliokuwa wanaingia hospitali walikuwa wanaruka ukuta? nani alikuambia chumba cha upasuaji kuna cctv camera..jaribu kufikiri bwn!
Sikupingi ila nilichotaka kukumbuka ni aina ya utawala tulionao. Makonda alinaswa kwenye CCTV camera akivamia studio za Clouds TV akiongozana na watu waliobeba mitutu ya bunduki. Hajawahi kushitakiwa na sasa ni Mbunge na Naibu Waziri, vyeo ambavyo hajawahi kuwa navyo hapo kabla.

Mfumo ukibadilika, sawa, ushahidi huo utakuwa na maana na utasaidia ila mpaka tufike huko.
 
..imagine polisi anamwambia sista hivyo, huo ni ujasiri au kitu gani..? unatoa watu hospitali wakafe na majeraha wakati walikuwa wanapata tiba? na hospitali nyingi za serikali ikiwemo muhimbili walikuwa wanawatoa wagonjwa kuwapa polisi, itafaa sana utawala huu ukiondoka lazima management za hospitali husika zihojiwe, wauguzi wahojiwe ili kuleta nidhamu, hatuwezi kuwa jamii ya kutetea ushetani wa namna hiyo..lazima sote tufike mahali pa kukataa UOVU hata km anayetoa agizo ni rais km anaelekeza uovu ufanyike KATAA kuwa sehemu ya uovu!
Mkuu hapa watumishi wa afya wanaweza kuwa wanalaumiwa bure ,watu wapo chini ya mtutu wa bunduki ,ulitaka wafanyeje, na mbaya zaidi aya mahospitali ,ukisikia mkurugenzi , mara Rmo ,Dmo , ni machawa pindukia wa ccm,

Swala sio kusumbua watumishi wa hospital bali walio juu yao , watumishi wa chini ni kuwaonea katika hili
 
..imagine polisi anamwambia sista hivyo, huo ni ujasiri au kitu gani..? unatoa watu hospitali wakafe na majeraha wakati walikuwa wanapata tiba? na hospitali nyingi za serikali ikiwemo muhimbili walikuwa wanawatoa wagonjwa kuwapa polisi, itafaa sana utawala huu ukiondoka lazima management za hospitali husika zihojiwe, wauguzi wahojiwe ili kuleta nidhamu, hatuwezi kuwa jamii ya kutetea ushetani wa namna hiyo..lazima sote tufike mahali pa kukataa UOVU hata km anayetoa agizo ni rais km anaelekeza uovu ufanyike KATAA kuwa sehemu ya uovu!
Mkuu mimi naona hapo tutawaonea manesi au madaktari.wa kuhojiwa hata kufungwa kabisa ni wakurugenzi wa mahospitali.ikumbukwe kuwa hao ni wateule wa mamlaka,kwa hiyo walikuwa wanaunga mkono kulinda vibarua.
Wamezingua sana hao wakurugenzi
 
Hata vitani unyama kama huu haufanyiki, mateka wa kivita hutendewa vyema kwa mujibu wa sheria. Hawa majini subiani wa Tanzania ni level ya juu kabisa ya ushetani
 
Back
Top Bottom