Kwanini Wayahudi wanaongoza kwa Ukaidi na Kuua Manabii wao?

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Mzuka wana jamvi ..

Hawa jamaa pamoja na kufanyiwa Wema mkubwa kwa kuleta Manabii na wengi lakini wanaongoza kuwakataa ,kupinga Amri zao na kuwaua , mifano halisi ;

1. Yesu : Huyu walimfanyia figisu na kumchoma kwa Warumi na kumfanyia njama za kumuua na walikata neno lake na miujiza yote aliyofanya.

Kuhusu Suala la Yesu , lilipelekea mateso sana huko Ulaya miaka Fulani bàada ya Dola ya Roma Kuukubali ukiristo waliona Mayahudi kama takataka na wauwaji wa Yesu hata kabla ya vita Moja ya msalaba Jeshi la msalaba huko Ulaya kabla halijatimka kwenda kuikonboa Jerusalem waliwauwa Mayahudi wengi sana kama kulipa machungu Yao kwa Yesu.

2. Yohana mbatizaji ; huyu walimtia jela na waliamua

3. Nabii Zakariyya , na yeye waliamua.

Visa ni vingi sana vya kuwafanyia hila na kuwaua Manabii wao ukiacha mbali uasi wao katika kutekeleza maarisho na Ukaidi kwa wale waliowakubali .

Nakaribisha michango ya Wadau, picha za kusindikizia uzi zitafuata baadae ...
 
☠️Kuua ili kupata Mabikra 72
☠️Kuchoma makanisa
☠️Kufukuza wayahudi
☠️Kubaka watoto wa miaka 9
☠️Kuoa mtu wa tumbo moja
☠️Kutunza silaha maeneo ya ibada
☠️Kuita wanawake ni vyombo vya starehe
☠️Kuua watu kwa jina la Mungu
Uhalali wa kuua mtu asie amini kamawao

EBU NIAMBIE VICHAA GANI WANAFANYAGA HAYA MATUKIO.
 
Walimuua pia Muddy(57) mme wa Bi. AISHA(6) kwa kumloga na kisha kumuwekea sumu iliyomuua.

Soma hadithi kama ilivyosimuliwa na Bi.Aisha (6) mke wa Muddy(57)
" ‘Aisha anasimulia: Nabii alifanyiwa uchawi hata akaanza kudhani kuwa anafanya kitu fulani wakati hakuwa anafanya. Siku moja alimwomba (Allah) kwa muda mrefu sana kisha akasema, ‘Naona kuwa Allah amenipa mwongozo wa namna ya kujitibu mwenyewe.’..." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 10 na.490 uk.317.

Tazama pia juzuu ya 4 kitabu cha 53 (Wajibu wa Khumus) sura ya 34 na.400 uk.267, juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.56-57, juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266-267. Juzuu ya 7 na.658-660 uk.441-443.

Pia Muislam Sahihi juzuu ya 2 kitabu cha 4 (Kitabu cha Sala) sura ya 309 na.1888 uk.411

Muhammad alilogwa. Alisimulia ‘Aisha: Nabii aliendelea kwa kipindi fulani akidhania kuwa anafanya tendo la ndoa na mke wake, lakini haikuwa hivyo. Siku moja alisema kwangu, "O ‘Aisha! Mungu ameniagiza kuhusiana na suala nililomuuliza. Watu wawili walikuja, mmoja alikaa karibu na miguu yangu na mwingine karibu na kichwa changu. Yule aliyekuwa karibu na miguu yangu alimuuliza yule wa karibu na kichwa changu (akininyooshea kidole), ‘Mtu huyu ana shida gani? Yule mwingine akamjibu, ‘Ameathirika na uchawi. Yule wa kwanza akauliza, ‘Ni nani aliyemfanyia uchawi?’ Yule mwingine akajibu, ‘Lubaid bin A’sam." Yule wa kwanza akauliza, ‘(Alitumia) nyenzo gani?.’ Yule mwingine alijibu ‘Ngozi ya chavua ya mtende wa kiume na chanio lililowekwa nywele, na kuwekwa chini ya jiwe kwenye bwawa la Dharwan.’" Kisha Nabii alikwenda kwenye bwawa lile na kusema, "Hili ndilo bwawa lilelile nililoonyeshwa kwenye ndoto. Ncha za mitende yake inaonekana kama vichwa vya mashetani, na maji yake yanaonekana kama mchanganyiko wa hina."… ‘Aisha aliongeza, "(Mchawi) Lubaid bin A’sam alikuwa anatokea Bani Zuraiq, mshirika wa Wayahudi." Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.57. Tazama pia Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 😂😂😂
 
Sifahamu
 
OK
 
Is
Mzuka wana jamvi ..

Hawa jamaa pamoja na kufanyiwa Wema mkubwa kwa kuleta Manabii na wengi lakini wanaongoza kuwakataa ,kupinga Amri zao na kuwaua , mifano halisi ;

1. Yesu : Huyu walimfanyia figisu na kumchoma kwa Warumi na kumfanyia njama za kumuua na walikata neno lake na miujiza yote aliyofanya.

Kuhusu Suala la Yesu , lilipelekea mateso sana huko Ulaya miaka Fulani bàada ya Dola ya Roma Kuukubali ukiristo waliona Mayahudi kama takataka na wauwaji wa Yesu hata kabla ya vita Moja ya msalaba Jeshi la msalaba huko Ulaya kabla halijatimka kwenda kuikonboa Jerusalem waliwauwa Mayahudi wengi sana kama kulipa machungu Yao kwa Yesu.

2. Yohana mbatizaji ; huyu walimtia jela na waliamua

3. Nabii Zakariyya , na yeye waliamua.

Visa ni vingi sana vya kuwafanyia hila na kuwaua Manabii wao ukiacha mbali uasi wao katika kutekeleza maarisho na Ukaidi kwa wale waliowakubali .

Nakaribisha michango ya Wadau, picha za kusindikizia uzi zitafuata baadae ...
Israel mbali, tuanzie hapa, na nchi za afrika, kwanini tunaua manabii wetu?
 
Mwezi nimejitolea rasmi kusoma Bible kupata baadhi ya visa vya kihistoria nione na maandiko , na madini yote nimeyatoa kwenye Bible .

Nimejiwekea kila siku nisome page kumi Leo nimemaliza Mathayo kesho niataanza rasmi na Marko .

Nimekutana na vitu vingi vingine muhimu nimeVinote nikipata muda nitaanzishia Uzi maana Mimi nimeamua kuwa Msomi ila Tatizo Jf ya siku hizi imejaa watu wa hovyo hakuna majadiliano ya kisomi na matusi , dhihaka nk hapa watu wengine washaanza kuniona Mimi mpiga bange kama Maghayo The Mongolian Savage, yaani inasikitisha sana.

IMG_20250503_155203.jpg
 
Nampongeza sana Mlokole Setfree kwenye kujibu hoja yeye anastick kujibu kilicholetwa na kuelewesha watu kistaarabu bila kejeli , dhihaka ,matusi na kukashifu dini nyingine aua kutoka nje ya mada .
 
Jiulixe kwanza kwa nini waislamu wanaongoza duniani kwa kuua waislamu wenzao kama vile kule sudan Dafur na Somalia nk
 
☠️Kuua ili kupata Mabikra 72
☠️Kuchoma makanisa
☠️Kufukuza wayahudi
☠️Kubaka watoto wa miaka 9
☠️Kuoa mtu wa tumbo moja
☠️Kutunza silaha maeneo ya ibada
☠️Kuita wanawake ni vyombo vya starehe
☠️Kuua watu kwa jina la Mungu
Uhalali wa kuua mtu asie amini kamawao

EBU NIAMBIE VICHAA GANI WANAFANYAGA HAYA MATUKIO.
Vichaa hawa huu ndio ukatili mkubwa zaidi kuwahi kufanyika Duniani , na Mungu hapo ndio alitoa amri

IMG_20250503_160142.jpg

Yaani hii inaitwa Totally destruction mpk watoto wachanga na wanyama wasio na hatia na ni Amri kutoka kwa Mungu , Duh! hii hata wa Wamongolia na Unyambulet wao hawawezi kufanya hivi.

Cc : The Mongolian Savage
 
☠️Kuua ili kupata Mabikra 72
☠️Kuchoma makanisa
☠️Kufukuza wayahudi
☠️Kubaka watoto wa miaka 9
☠️Kuoa mtu wa tumbo moja
☠️Kutunza silaha maeneo ya ibada
☠️Kuita wanawake ni vyombo vya starehe
☠️Kuua watu kwa jina la Mungu
Uhalali wa kuua mtu asie amini kamawao

EBU NIAMBIE VICHAA GANI WANAFANYAGA HAYA MATUKIO.
😂😂😂😂
 
Mzuka wana jamvi ..

Hawa jamaa pamoja na kufanyiwa Wema mkubwa kwa kuleta Manabii na wengi lakini wanaongoza kuwakataa ,kupinga Amri zao na kuwaua , mifano halisi ;

1. Yesu : Huyu walimfanyia figisu na kumchoma kwa Warumi na kumfanyia njama za kumuua na walikata neno lake na miujiza yote aliyofanya.

Kuhusu Suala la Yesu , lilipelekea mateso sana huko Ulaya miaka Fulani bàada ya Dola ya Roma Kuukubali ukiristo waliona Mayahudi kama takataka na wauwaji wa Yesu hata kabla ya vita Moja ya msalaba Jeshi la msalaba huko Ulaya kabla halijatimka kwenda kuikonboa Jerusalem waliwauwa Mayahudi wengi sana kama kulipa machungu Yao kwa Yesu.

2. Yohana mbatizaji ; huyu walimtia jela na waliamua

3. Nabii Zakariyya , na yeye waliamua.

Visa ni vingi sana vya kuwafanyia hila na kuwaua Manabii wao ukiacha mbali uasi wao katika kutekeleza maarisho na Ukaidi kwa wale waliowakubali .

Nakaribisha michango ya Wadau, picha za kusindikizia uzi zitafuata baadae ...
Kwa sababu manabii ni wao na Mungu ni wao
 
Ni vitu tu vinavyoweza kutokea Kwa jamii yoyote ile. Binadamu tumejawa ubinafsi, chuki, wivu. Chochote kinachohatarisha maslahi Fulani basi kinaondolewa labda itokee nguvu kubwa ya kupinga Hilo.
 
Back
Top Bottom