Kwanini Wayahudi wanaongoza kwa Ukaidi na Kuua Manabii wao?

Kwanini Wayahudi wanaongoza kwa Ukaidi na Kuua Manabii wao?

Kwa sababu manabii ni wao na Mungu ni wao
Mimi nahisi kama sio laana basi akili hawana . Hizo dhana zangu sio Bure sababu Mimi najadili kisomi basi dhana yangu ni evidence based.

Katika somo langu la Leo katika Bible nimekutana na huu Mstari ambao wanamwambia Pilato asihofu wao watumua Yesu na wakoradhi damu yake iwatafute mpaka na vizazi vyao.
IMG_20250503_163541.jpg
 
Tena Yesu ndiye alikuwa na jumbe ngumu sana

Kasome Mathayo 23 uone anavyowapiga spana viongozi wa dini
Leo nimemaliza Mathayo , Yesu humo alikuwa kiboko kwenye spana majibu short and clear , wakati mwingine anaulizwa swali anajibu kwa swali au fumbo la Kibabe .
 
Mzuka wana jamvi ..

Hawa jamaa pamoja na kufanyiwa Wema mkubwa kwa kuleta Manabii na wengi lakini wanaongoza kuwakataa ,kupinga Amri zao na kuwaua , mifano halisi ;

1. Yesu : Huyu walimfanyia figisu na kumchoma kwa Warumi na kumfanyia njama za kumuua na walikata neno lake na miujiza yote aliyofanya.

Kuhusu Suala la Yesu , lilipelekea mateso sana huko Ulaya miaka Fulani bàada ya Dola ya Roma Kuukubali ukiristo waliona Mayahudi kama takataka na wauwaji wa Yesu hata kabla ya vita Moja ya msalaba Jeshi la msalaba huko Ulaya kabla halijatimka kwenda kuikonboa Jerusalem waliwauwa Mayahudi wengi sana kama kulipa machungu Yao kwa Yesu.

2. Yohana mbatizaji ; huyu walimtia jela na waliamua

3. Nabii Zakariyya , na yeye waliamua.

Visa ni vingi sana vya kuwafanyia hila na kuwaua Manabii wao ukiacha mbali uasi wao katika kutekeleza maarisho na Ukaidi kwa wale waliowakubali .

Nakaribisha michango ya Wadau, picha za kusindikizia uzi zitafuata baadae ...
na pia tujiulize kwanini waislamu ni watu wenye fujo duniani mfano Somalia Kuna Alshababu,bokoharamu,ISS,Pakistan wanalipuana wenyewe Kwa wenyewe Hadi misikitini,Syria,lebanon
 
na pia tujiulize kwanini waislamu ni watu wenye fujo duniani mfano Somalia Kuna Alshababu,bokoharamu,ISS,Pakistan wanalipuana wenyewe Kwa wenyewe Hadi misikitini,Syria,lebanon
Wanaofanya hivyo ni wajinga miongoni mwa Waislamu mbona Saudi , Qatar , Dubai , Bahrain, Kuwait , Egypt, Morroco , Algeria , Mauritania, Brunei , Indonesia nk kupo shwari hakuna Fujo ?
 
Leo nimemaliza Mathayo , Yesu humo alikuwa kiboko kwenye spana majibu short and clear , wakati mwingine anaulizwa swali anajibu kwa swali au fumbo la Kibabe .
Acha kabisa ,Sura ya 23 kwasisi Wana theolojia pale alibadilika kabisa na kuwa katika Hali ya Uungu, maana zile spana kwa kawaida wangemuua

Sura nzima ,anawapiga spana waandishi, na mafarisayo
 
Simple ni kizazi kilicho laanika walishatiwa muhuri wa moto
 
☠️Kuua ili kupata Mabikra 72
☠️Kuchoma makanisa
☠️Kufukuza wayahudi
☠️Kubaka watoto wa miaka 9
☠️Kuoa mtu wa tumbo moja
☠️Kutunza silaha maeneo ya ibada
☠️Kuita wanawake ni vyombo vya starehe
☠️Kuua watu kwa jina la Mungu
Uhalali wa kuua mtu asie amini kamawao

EBU NIAMBIE VICHAA GANI WANAFANYAGA HAYA MATUKIO.
hahahahhahahha wewe ni myahudi kwani?
 
Kwaning unasema wanaongoza? Bora ungesema waliongoza maana hayo unayosema yalitokea zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Sasa nikujulishe kuwa sio kweli kuwa Wayahudi wanaongoza kwa kuua manabii. Ni kutokana tu na kuwa na kuwepo kwa takwimu kwenye Biblia. Lakini ukweli ni kuwa mataifa mengi yameendelea kuua manabii wa Mungu. Mathalan Warumi waliua sana wakristo Wa komunisti na nchi za kiarabu kadhalika. Kumbuka kuwa Wakristo ni Manabii wa Mungu. Nikueleze tu kuwa mataifa yote yaliyoshiriki kuua watumishi wa Mungu yatanyooshwa! Wayahudi wao tayari walishaonja joto ya jiwe kwa nyakati tofauti. Mwaka 70 BC walitandikwa na kutawanywa. Mwaka 1939-1945 waliuwawa sana huko ulaya.
 
☠️Kuua ili kupata Mabikra 72
☠️Kuchoma makanisa
☠️Kufukuza wayahudi
☠️Kubaka watoto wa miaka 9
☠️Kuoa mtu wa tumbo moja
☠️Kutunza silaha maeneo ya ibada
☠️Kuita wanawake ni vyombo vya starehe
☠️Kuua watu kwa jina la Mungu
Uhalali wa kuua mtu asie amini kamawao

EBU NIAMBIE VICHAA GANI WANAFANYAGA HAYA MATUKIO.
Acha upuuzi wako, jibu swali.
 
Walimuua pia Muddy(57) mme wa Bi. AISHA(6) kwa kumloga na kisha kumuwekea sumu iliyomuua.

Soma hadithi kama ilivyosimuliwa na Bi.Aisha (6) mke wa Muddy(57)
" ‘Aisha anasimulia: Nabii alifanyiwa uchawi hata akaanza kudhani kuwa anafanya kitu fulani wakati hakuwa anafanya. Siku moja alimwomba (Allah) kwa muda mrefu sana kisha akasema, ‘Naona kuwa Allah amenipa mwongozo wa namna ya kujitibu mwenyewe.’..." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 10 na.490 uk.317.

Tazama pia juzuu ya 4 kitabu cha 53 (Wajibu wa Khumus) sura ya 34 na.400 uk.267, juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.56-57, juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266-267. Juzuu ya 7 na.658-660 uk.441-443.

Pia Muislam Sahihi juzuu ya 2 kitabu cha 4 (Kitabu cha Sala) sura ya 309 na.1888 uk.411

Muhammad alilogwa. Alisimulia ‘Aisha: Nabii aliendelea kwa kipindi fulani akidhania kuwa anafanya tendo la ndoa na mke wake, lakini haikuwa hivyo. Siku moja alisema kwangu, "O ‘Aisha! Mungu ameniagiza kuhusiana na suala nililomuuliza. Watu wawili walikuja, mmoja alikaa karibu na miguu yangu na mwingine karibu na kichwa changu. Yule aliyekuwa karibu na miguu yangu alimuuliza yule wa karibu na kichwa changu (akininyooshea kidole), ‘Mtu huyu ana shida gani? Yule mwingine akamjibu, ‘Ameathirika na uchawi. Yule wa kwanza akauliza, ‘Ni nani aliyemfanyia uchawi?’ Yule mwingine akajibu, ‘Lubaid bin A’sam." Yule wa kwanza akauliza, ‘(Alitumia) nyenzo gani?.’ Yule mwingine alijibu ‘Ngozi ya chavua ya mtende wa kiume na chanio lililowekwa nywele, na kuwekwa chini ya jiwe kwenye bwawa la Dharwan.’" Kisha Nabii alikwenda kwenye bwawa lile na kusema, "Hili ndilo bwawa lilelile nililoonyeshwa kwenye ndoto. Ncha za mitende yake inaonekana kama vichwa vya mashetani, na maji yake yanaonekana kama mchanganyiko wa hina."… ‘Aisha aliongeza, "(Mchawi) Lubaid bin A’sam alikuwa anatokea Bani Zuraiq, mshirika wa Wayahudi." Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.57. Tazama pia Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 😂😂😂
Acha ujinga, jibu swali.
Pumbafffff.
 
Cha Ajabu yule Mroma waliomtumia kumsurubu Yesu, ndiyo alikusanya Nyaraka za Vitabu tofauti Toka Israel, na kwenda navyo Roma, wakaandika Biblia.

Warumi walishukudia mengi Mungu aliowatendea, ila Waisrael waliyaona hatua Kwa hatua Toka Egypt, ila mpaka leo wameweka vichwa ngumu.

All in all kama Waisrael wangemkubari Masihi, then Neema ya Wokovu ingeishia kwao...! Isingefika Kwa Mataifa kama ilivyo Sasa.
 
Back
Top Bottom