Kwanini Wayahudi wanaongoza kwa Ukaidi na Kuua Manabii wao?

Kwa sababu manabii ni wao na Mungu ni wao
Mimi nahisi kama sio laana basi akili hawana . Hizo dhana zangu sio Bure sababu Mimi najadili kisomi basi dhana yangu ni evidence based.

Katika somo langu la Leo katika Bible nimekutana na huu Mstari ambao wanamwambia Pilato asihofu wao watumua Yesu na wakoradhi damu yake iwatafute mpaka na vizazi vyao.
 
Tena Yesu ndiye alikuwa na jumbe ngumu sana

Kasome Mathayo 23 uone anavyowapiga spana viongozi wa dini
Leo nimemaliza Mathayo , Yesu humo alikuwa kiboko kwenye spana majibu short and clear , wakati mwingine anaulizwa swali anajibu kwa swali au fumbo la Kibabe .
 
na pia tujiulize kwanini waislamu ni watu wenye fujo duniani mfano Somalia Kuna Alshababu,bokoharamu,ISS,Pakistan wanalipuana wenyewe Kwa wenyewe Hadi misikitini,Syria,lebanon
 
na pia tujiulize kwanini waislamu ni watu wenye fujo duniani mfano Somalia Kuna Alshababu,bokoharamu,ISS,Pakistan wanalipuana wenyewe Kwa wenyewe Hadi misikitini,Syria,lebanon
Wanaofanya hivyo ni wajinga miongoni mwa Waislamu mbona Saudi , Qatar , Dubai , Bahrain, Kuwait , Egypt, Morroco , Algeria , Mauritania, Brunei , Indonesia nk kupo shwari hakuna Fujo ?
 
Leo nimemaliza Mathayo , Yesu humo alikuwa kiboko kwenye spana majibu short and clear , wakati mwingine anaulizwa swali anajibu kwa swali au fumbo la Kibabe .
Acha kabisa ,Sura ya 23 kwasisi Wana theolojia pale alibadilika kabisa na kuwa katika Hali ya Uungu, maana zile spana kwa kawaida wangemuua

Sura nzima ,anawapiga spana waandishi, na mafarisayo
 
Simple ni kizazi kilicho laanika walishatiwa muhuri wa moto
 
hahahahhahahha wewe ni myahudi kwani?
 
Kwaning unasema wanaongoza? Bora ungesema waliongoza maana hayo unayosema yalitokea zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Sasa nikujulishe kuwa sio kweli kuwa Wayahudi wanaongoza kwa kuua manabii. Ni kutokana tu na kuwa na kuwepo kwa takwimu kwenye Biblia. Lakini ukweli ni kuwa mataifa mengi yameendelea kuua manabii wa Mungu. Mathalan Warumi waliua sana wakristo Wa komunisti na nchi za kiarabu kadhalika. Kumbuka kuwa Wakristo ni Manabii wa Mungu. Nikueleze tu kuwa mataifa yote yaliyoshiriki kuua watumishi wa Mungu yatanyooshwa! Wayahudi wao tayari walishaonja joto ya jiwe kwa nyakati tofauti. Mwaka 70 BC walitandikwa na kutawanywa. Mwaka 1939-1945 waliuwawa sana huko ulaya.
 
Acha upuuzi wako, jibu swali.
 
Acha ujinga, jibu swali.
Pumbafffff.
 
Cha Ajabu yule Mroma waliomtumia kumsurubu Yesu, ndiyo alikusanya Nyaraka za Vitabu tofauti Toka Israel, na kwenda navyo Roma, wakaandika Biblia.

Warumi walishukudia mengi Mungu aliowatendea, ila Waisrael waliyaona hatua Kwa hatua Toka Egypt, ila mpaka leo wameweka vichwa ngumu.

All in all kama Waisrael wangemkubari Masihi, then Neema ya Wokovu ingeishia kwao...! Isingefika Kwa Mataifa kama ilivyo Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…