Kwanini Wayne Rooney hakutwaa Ballon D'or?

Kwanini Wayne Rooney hakutwaa Ballon D'or?

Mmmh hembu naomba nitajie ni mwaka gani unahisi Rooney ali deserve Balon d'or?Halafu uangalie mwaka huo kachukua nani?na jee ni kweli ana deserve au kapendelewa?Msimu ambao atleast Rooney angeclaim kuchukua ni 2007/08 ambao ndio walibeba UCL pale Moscow but Cristiano Ronaldo was the star performer without a doubt!!Atleast mtu akinambia Iniesta au Xavi au Sneijder au hata Ribery (2013) wamedhulumiwa apo kidogo ningekuelewa lakini Rooney aargh hivi kashawahi kushinda hata PFA players player of the year award na kama kashinda itakua moja tuu

Van der Sir ndie aliekua star pefomer wa Man Utd walipotoa ubingwa wa ulaya.
Ronaldo hakuonesha uwezo mkubwa kuliko Rooney wala Tevez wala Park ji Sung. Kubwa ni alifunga magoli zaidi tu. Lakini baada yote ayo kumona ROnaldo anashinda baloon alafu Vidic, Vande sir, Rooney, Tevez, Park wote wanakosekana hata kwenye top 10 hata mmoja haingii akili kabisa. Sisemi kuwa lazima walistahiki kuwemo kwenye top 10, ninachosema haiwezekanwi kuwa ronaldo awe ndio winner halafu hao wakose hata nafasi ya 10 kwasababu hao wote walionesha uwezo mkubwa sambamba nayeye nawengine walimzidi kwa uhukika.
 
Binafsi siamini kama Rooney aliwahi kuwa na uwezo wakushinda Baloon katika mwaka wowote. Lakini Napinga mojaja kwa moja Ronaldo alistahili kushinda zaidi ya Baloon 1, au kwa upendeleo basi 2, si zaidi ya hapo. hizo za ziada ni michezo michafu tu ya Waendeshaji wa mpira Duniani.
 
Kunywa balimi nakuja kulipa
 
Mkuu kama umecheza mpira kipindi cha CR7 na Messi, sahau hiyo tuzo. Wale jamaa sio wa dunia hii.
 
Back
Top Bottom