last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Na je Rooney kamzidi nini Drogba?Drogba kamzidi nini Rooney?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na je Rooney kamzidi nini Drogba?Drogba kamzidi nini Rooney?
Mmmh hembu naomba nitajie ni mwaka gani unahisi Rooney ali deserve Balon d'or?Halafu uangalie mwaka huo kachukua nani?na jee ni kweli ana deserve au kapendelewa?Msimu ambao atleast Rooney angeclaim kuchukua ni 2007/08 ambao ndio walibeba UCL pale Moscow but Cristiano Ronaldo was the star performer without a doubt!!Atleast mtu akinambia Iniesta au Xavi au Sneijder au hata Ribery (2013) wamedhulumiwa apo kidogo ningekuelewa lakini Rooney aargh hivi kashawahi kushinda hata PFA players player of the year award na kama kashinda itakua moja tuu
Kunywa balimi nakuja kulipaBinafsi siamini kama Rooney aliwahi kuwa na uwezo wakushinda Baloon katika mwaka wowote. Lakini Napinga mojaja kwa moja Ronaldo alistahili kushinda zaidi ya Baloon 1, au kwa upendeleo basi 2, si zaidi ya hapo. hizo za ziada ni michezo michafu tu ya Waendeshaji wa mpira Duniani.
Mkuu kama umecheza mpira kipindi cha CR7 na Messi, sahau hiyo tuzo. Wale jamaa sio wa dunia hii.