Kwanini Wazanzibari wanampiga vita Rais Hussein Mwinyi?

NINA JIRANI ZANGU PIA KINA MAMA MMANGA FAKI, HAJI DUNI, ABED MAKAME, ASHUU MBETO NA BI ZANIA MFANGAKUNGU NILIWASKIA WAKISEMA MWINYI NI WAO WAMPENDA NA WASHAMRIDHIA, WATU WA BARA MSHAWAFAHAMU'e
 
Wanaweza kabisa kumpa maana wan Dharau na wala hawafanyi hivyo kwa maslahi ya Nchi bali wao ma vikundi vyao vinavyowapa nguvu ya kufanya hivyo.
 
4. Anaamini zaidi kwa wazanzibari waliopo nje ya nchi kuliko wakaazi wa Zanzibar hasa kwenye utawala
5.Anatumia zaidi mfumo wa kijeshi kuliko mfumo wa kiraia kusimamia mambo[emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu namuona Rais Mwinyi kama Rais a;iyeibadilisha Zanzibar kimaendeleo, kiuchumi na ameziba mianya yote ya upigaji hela. Sote tumuunge Rais Mwinyi.
 
Wazenji wamezoea kubembelezwa!hawajazoea mpelampela!sasa mwamba anawakimbiza mchakamchaka ndo maana hawamkubali!waturudishie bara tu kama hawamtaki!
 
Kumshutumu waziri kwa kupungua kwa pombe zanzibar ni sawa na kuwashutumu mashekh kwa kutoleta pombe msikitini. Wacha wamchukie.maana analeta uzungu na uasherati kwa wafia uislam.
Inaonekana kaenda kuvuruga utamaduni wa wazanzibar
 
Kumshutumu waziri kwa kupungua kwa pombe zanzibar ni sawa na kuwashutumu mashekh kwa kutoleta pombe msikitini. Wacha wamchukie.maana analeta uzungu na uasherati kwa wafia uislam.
Inaonekana kaenda kuvuruga utamaduni wa wazanzibar
Acha blah blah wewe. Wapi kwenye uislamu wamekataza pombe? Sasa kama wamekataza pombe, hiyo mito ya pombe ahera ni ya nini?
 
Pamoja na maendeleo itamlazimu kutumia zaidi jeshi na Tume ya Uchaguzi kumrejesha madarakani la sivyo anatarajiwa kutawala kipindi kimoja.
Hili akina sisi tumelitolea ushauri hapa kwenye HII kwa uchaguzi wa 2025 kwa Zanzibar, kama haki bin haki itatendeka, then rais ni OMO!.
P
 

Kazi ipo
 
Mfumo wake umemsaidia sana kuachana na lele mama ya wazazibar wengi na kuwalazimisha wawe strong. Pamoja na maendeleo itamlazimu kutumia zaidi jeshi na Tume ya Uchaguzi kumrejesha madarakani la sivyo anatarajiwa kutawala kipindi kimoja.
Mfumo wa urojo
 
Yule Askari aliesema kuna watu wana nyadhifa za juu sio raia wa Tanzania. Alikuwa mzanzibari nae?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…