Kwanini Wazanzibari wengi wanachukia asili yao ya asili ya Congo na Burundi wanaprefer kuonekana waarabu ilhali waarabu wanawakataa?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Hivi kwanini wazanzibari wanaprefer kuwa part of waarabu….hivi kweli wakijiangalia kwenye kioo wanajiona ni waarabu?

Wanzibar hukataa asili zao za Congo Mashariki, Burundi, Kigoma, n.k. wanaukataa Uafrika na kujiita waarabu wakati hata waarabu wenyewe huwabagua huko uarabuni na hata hapa kwetu ni ngumu sana muarabu kumuozesha bibtiye kwa mzanzibari,

Jata kama ni chotara mwenye nywele zilizojiviriga na nfozi ya brown wakienda uarabuni huitwa waafrika na kubaguliwa, Kuna baadhi ya wasimamizi wa mashamba ya karafuu waliingilia watumwa wa kiafrika na watoto kuwa machotara lakini ajabu ni kwamba wanakataa kabisa asili ya mama zao, kwanini ? hulazimisha kuwa sehemu ya waarabu wasiowatambua kuwa ni waarabu kwanini ?

Imepelekea hata wanawake wengi sana kutumia vipodozi vingi kujaribu kuipata rangi ya kiarabu, kuna maada pia ipo humu ndani kwamba kuna utamaduni wa kuwalaza watoto vichwa kwenye kibao kigumu ili kichwa kisiwe na kisogo
 
Si wao tu, duniani kote wengi hupendelea weupe wa ngozi na pia kukihusisha au kujiweka karibu na weupe.
 
Waache waende wanapoona pana uafadhali wa maisha
 
nilimsikia shehe mmoja toka kenya wamemualika hapa, yeye anasema ana uarabu ndani, na anasema sisi wabantu ndio wakuja kuliko yeye kwasababu yeye babu zake wamekuwepo karne nyingi zaidi. nikimwangalia usoni ni mweusi kuliko mimi na mjaluo mwingine yeyote, jeusii, na anajiona mwarabu, na anatubagua sisi wengine kuwa ni wabantu. pua yenyewe ni kama bandama hata ukichukua watoto wa arusha, au mbulu wataonekana asiatic kuliko yeye. ila ameng'ang'ana kwamba yeye ana asili ya uarabu. nikajua ni utumwa tu. mood alifanya kitu kibaya sana kuondoa akili kwa hawa watoto wa mamdogo akawaachia fuvu tu.
 
Kwani waki prefer kwa baba zao waarabu kuna ubaya gani, huko si ndio wanakotakiwa waoneshe unasaba wao? Wana uhuru wa kuchagua upande wautakao wa mama au baba
 
Kama vipi warejeshwe tu huko Congo na Burundi kwa lazima. Maana tukiendelea kuwachekea, wanaweza kuuza nchi yote kwa mwabwana zao Waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…