Kwanini Wazanzibari wengi wanachukia asili yao ya asili ya Congo na Burundi wanaprefer kuonekana waarabu ilhali waarabu wanawakataa?

Kwanini Wazanzibari wengi wanachukia asili yao ya asili ya Congo na Burundi wanaprefer kuonekana waarabu ilhali waarabu wanawakataa?

Na wanawaminya Hadi watoto visogo ili mradi tu wavae baraghashia na ziwakae vizuri waonekane Kama waarabu.

Jamaa Wana utumwa mbaya Sana vichwani mwao.

Unambinyaje mtoto kisogo Hadi anakuwa taaahira eti I'll mradi tu kichwa kisiwe Kama mbantu mwenye chogo!!?
Dah jman jaman
 
wazanzibar wengi walichukuliwa watumwa toka congo, burundi, tabora na usukumani huko, wakapelekwa kulima karafuu kule. tiputipu ndio alikuwa na route yake kuwakusanya. ni vimbilikimo vya kongo hivyo.
 
Kabla ya watumwa kutoka Congo kupelekwa Zanzibar ni watu gani walikuwa wakiishi huko? Waarabu walikuta wenyeji au visiwa havikuwa na watu?
 
Kwasababu hawafanani na hao Wacongo na Warundi wako badala yake wengi wana ufanano na waarabu.
 
Kabla ya watumwa kutoka Congo kupelekwa Zanzibar ni watu gani walikuwa wakiishi huko? Waarabu walikuta wenyeji au visiwa havikuwa na watu?
vilikuwa na wavuvi wachache ambao waliitwa watumbatu. utumwa wa mwarabu ulipokuja ndio ulisambaza wabantu hadi commoro, reunion na mauritious nk
 
Wako wazanzibari wengi afroarab lakini wingi wao hawajawazidi wale wenyeji halisi.
 
Mimi niko zanzibar kama mwaka kwasasa nimewasoma wa zanzibari nilichogundua kwamba wengi wao hawana ufahamu masikini wa akili
 
ilikua ni amri baada ya mapinduzi kuwaingilia wanawake wa kiarabu
Yes,na pia forced marriages. Hicho ndicho kilichofanya watu wengi wenye asili tofauti kukimbilia bara kupitia Bagamoyo na wengine nchi za nje kama kina Abdulrazak Gurnah.
 
Tabia hii ipo hata kwa baadhi ya watu toka Tanga, nilikutana na Dada flani ananambia "si asili yetu Oman" nikastaajabu sana...
 
Kabla ya watumwa kutoka Congo kupelekwa Zanzibar ni watu gani walikuwa wakiishi huko? Waarabu walikuta wenyeji au visiwa havikuwa na watu?
Hili swali .. umemaliza!

Kusoma sio kuelimika...

Mchaga sio mbaguzi ..na mbona Hana kichogo?!
 
Back
Top Bottom