Kwanini wazaramo hawaumizwi kimapenzi?

Kwanini wazaramo hawaumizwi kimapenzi?

Wazaramo naturally ni malaya ndio maana hawana wivu wa mapenzi, simply hawatoi moyo wao kizembe kwa mtu mmoja hata awe mume au mke wa ndani.

Hawajui kupoteza muda kumfikiria mtu mmoja wao muda mwingi wako mbio mbio tu, kanuni yao ni moja tu; ukinizingua nakuzingua lakini ukija na story tunapiga na kucheka tutacheka ukipenda, hamna kununiana.
Muda wote miguu imechafuka wanaruka kama impara
 
Hoja zako mufilisi,na sio wazaramo sema waislam upumbavu wa kuuana kisa mapenzi walishatika huko.Huwezi ukakaa ukaona muislam kamtia shoka mkewe kisa mapenzi.

Hapo ndio tulipojichukulia point3,ule utaratibu wa kuoa wanawake 1_4 ndio umewanya wengi kuwa watulivu.

Kinachowatesa wenzetu unakuwa na mwanamke mmoja(taratibu)huwezi kuoa mwingine hivyo mwanamke anafanya atakavyo akijua hawezi kuachwa,yaan hata usikie analiwa wewe utabaki na moyoni au ndio mpigane muwane
Mkuu unasema uongo mkubwa Baba yangu alioa wake wawili na Babu yangu pia alikuwa na wake watatu na siyo waislamu.
 
Mzaramo hawezi kuwa na wivu wa mapenzi wala kuumizwa kwasababu kuchepuka ni sehemu ya mapenzi kwao

Yaani Mwanamke asipochepuka wanamshangaa na kumsuta mpaka achepuke na Wanaume kadhaa...asipochepuka wanamuuliza vp mwenzetu we Mgonjwa?

Hilo walishalizoea tangu enzi na enzi
he samahani lakini tena umezidi uongo. Wanawake kuchepuka haikubaliki kokote, wanaume ndiyo wanaojipa mamlaka hayo na hata hivyo kwa pwani ataishia kuoa wanawake wawili watatu mpaka wanne.
 
mapenzi yakikuumiza ujue huna akili timamu yaani mawazo yako yanaishia sehemu fulani
pia kubali matokeo songa mbele
 
Pwani hakuna mapenzi ni drama tuu wao kila kitu maigizo hata ndoa za pwani hazina thamani na hii ni kutokana na maeneo hayo kujaa waislam ambao kwao kila kitu ni easy tuu ndio maana wanagawa bandari,wanagawa mbuga na sasa wanagawa sehemu ya bahari yaanaibtabu tupu hawa viumbe na dini yao
 
Back
Top Bottom