Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Siyo uislam jamii hizo ni matrilineal automatically zinakuwa siyo aggressive sana.Najua hili jibu makafiri wamelichukia na kuliponda sana lakini ndo JIBU KUU. Pwani imestaarabishwa mno na Uislamu; mfumo mzima wa maisha umewekwa humo na anayeufuatilia ana uwezo kutatua changamoto nyingi zinazomkabili bila kuathiriwa na hisia zake binafsi. Si mapenzi tu, lakini nyie haters hebu fuatilieni pia kesi za mauaji zinazotokea sehemu za pwani za mambo km
-madeni
-mali/urithi
-hisia za uchawi n.k kisha linganisheni na huko bara (porini) kwenu.
Mkoa mwingine wenye jamii matrilineal ni Singida hauna rekodi ya mauaji