Kwanini wazaramo hawaumizwi kimapenzi?

Muda wote miguu imechafuka wanaruka kama impara
 
Mkuu unasema uongo mkubwa Baba yangu alioa wake wawili na Babu yangu pia alikuwa na wake watatu na siyo waislamu.
 
he samahani lakini tena umezidi uongo. Wanawake kuchepuka haikubaliki kokote, wanaume ndiyo wanaojipa mamlaka hayo na hata hivyo kwa pwani ataishia kuoa wanawake wawili watatu mpaka wanne.
 
mapenzi yakikuumiza ujue huna akili timamu yaani mawazo yako yanaishia sehemu fulani
pia kubali matokeo songa mbele
 
Pwani hakuna mapenzi ni drama tuu wao kila kitu maigizo hata ndoa za pwani hazina thamani na hii ni kutokana na maeneo hayo kujaa waislam ambao kwao kila kitu ni easy tuu ndio maana wanagawa bandari,wanagawa mbuga na sasa wanagawa sehemu ya bahari yaanaibtabu tupu hawa viumbe na dini yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…