Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

Na makosa makubwa ya binadamu ya afwanywa pale anapofanya maamuzi kutumia hisia na sio akili.
 
Upo sahih mkuu, japo wapo single maza wachache ni wife material ni vile tu wanahukimiwa na record za wenzao
 
Mama mwenyewe anajua, single maza ni mke wa mtu, na baba kwenye hiyo vita alikaa pembeni aone itaishaje
 
Na makosa makubwa ya binadamu ya afwanywa pale anapofanya maamuzi kutumia hisia na sio akili.
Linapokuja suala la mapenzi watu wengi, matumizi ya akili hua 10% na hisia huchukua 90%
 
Linapokuja suala la mapenzi watu wengi, matumizi ya akili hua 10% na hisia huchukua 90%
Nanhilo ndio tatizo. Mapenzi ye yewe haya ya pesa mbele...mhm. wacha tuu niitwe mshamba mie akili mbele moyo nyuma.
Ila haka kabinti ka sasa naona kama kanataka kunie desha kama gari bovu🤔🤔🤔
 
Nanhilo ndio tatizo. Mapenzi ye yewe haya ya pesa mbele...mhm. wacha tuu niitwe mshamba mie akili mbele moyo nyuma.
Ila haka kabinti ka sasa naona kama kanataka kunie desha kama gari bovu
Ukinasa pahala matumizi ya akili hua ni kidogo sana, ndo maana majuto hua mjukuu.
 
Baba aikua analakusem ila akiw n mkew anamsupport mke ila akiwa n kijan anasema tatiz mama yako sio mwelew mwanangu
amsikilize Baba, na ni akina mama wanatuambia tusione Singo mazas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…