Upo sahihi, japo wapo wache wastaarabu.Hakuna ndoto ya kutisha Kama kuoa Single Maza!
Wazazi wanataka kilicho bora kwa watoto wao, Mimi mke wangu ni mama wa nyumbani lkn hataki mabinti wetu wawe kama yeye, anataka wasome wawe na kazi zaoUnakuta mama ni singo maza lakini hataki mwanae aoe singo maza....why?
Nko nae tunapika na kupakuwaUshamuoa tayari? Share experience.
Ndio maana nimekwambia hapo hukatazwi kuoa single Maza.Mkuu kumbuka, kuoa asie single maza haikupi quarantee ya kutochapiwa.
🤣🤣🤣🤣🤣 we jamaa nomaMechi inaanza sekunde ya kwanza umepigwa 2 - 0 , unafikiri hio mechi unashinda..
🤣🤣Mechi inaanza sekunde ya kwanza umepigwa 2 - 0 , unafikiri hio mechi unashinda..
kwani aliyetoa mimba ni bora kuliko singo maza? singo maza wana shida gani?Wazazi wanataka kilicho bora kwa watoto wao, Mimi mke wangu ni mama wa nyumbani lkn hataki mabinti wetu wawe kama yeye, anataka wasome wawe na kazi zao
Mwisho yale maneno yalimfikia yule single mother kwaiy yeye ndio akayakataa yale mausiano licha ya kutumia nguvu kubwa kumueka saw ila aikua lizik kwa jmaaMwisho ilikuwaje?
Sio 2 ni 6 -0Mechi inaanza sekunde ya kwanza umepigwa 2 - 0 , unafikiri hio mechi unashinda..
Home and away.Sio 2 ni 6 -0
Alafu ushinde neverHome and away.
Hongera, kama vision yake anataka uwe na uchumi mkubwa, huyo anakutakia kheri.Nko nae tunapika na kupakuwa
Hacheat ila ana wivu sana
afu haogopi kuachika,huwa ananitia stress sana anapotaka niwe kama wanaume fulani kwenye uchumi na maendeleo
Ilikuwaje mkuu, share nasi tujifunze.Yalinitokea puani haya mambo ya kuwa na singo maza, aisee nimejifunza
Mkuu mbona hata wasio single maza wanatoa tu.ni ngumu na haiwezekani mwanamke kumnyima papuchi mtu aliyezaa naye.....kama yupo tayari kushare mke na baba wa mtoto sawa amuoe tu.
Dah! Haya mambo yapo complicated sana.Mwisho yale maneno yalimfikia yule single mother kwaiy yeye ndio akayakataa yale mausiano licha ya kutumia nguvu kubwa kumueka saw ila aikua lizik kwa jmaa
Hawataki muoe wake za watu, wenye watoto wao siku yoyote wakitaka kupasha kiporo unatombewa tu.Wazazi wengi ukiwadokeza, unataka kuoa single maza, reaction yao hua si nzuri hata kama wao ni single parent.
Rafiki yangu karibuni, alinambia aligombezwa na wazazi wake, baada ya kuwaambia anataka kuoa single maza. Yeye anaamini ni mtu sahihi coz ktk miaka 2 ya mahusiano yao, hajaona tabia mbaya, pia anadai ameplay part kubwa kukuza biashara yake.
Mimi nimemshauri afuate moyo wake, coz kuoa asie single maza, haikupi quarantee ya kutopigwa matukio.
Kwa mtizamo wako, unadhani kwa nini wazazi hawataki, tuoee single maza, hasa ikiwa ndoa ya kwanza?