Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

Kweli
 
Daaaaaaah
 
Eeh hii kauli mie sijawahi isikia. Kum e wanakuwa na maneno mbofu mbofu hivyo🤔🤔🤔🤔
Shida nayo mbususu zao tamu sasa sijui tufanyeje jameni
 
Mkuu kumbuka, kuoa asie single maza haikupi quarantee ya kutochapiwa.
Mr. Sound Bora hiyo haitakuumiza sana ila kwa single mother utapata maumivu mara mbili we imagine unamsomesha mtoto wake mpaka anakuwa mkubwa kwa gharama nyingi hapo huna mtoto wako alafu unagundua anakucheat na yule yule aliyemzalisha na huduma ya mtoto alikuwa atoi
 
Ukitaka kuepuka matatizo achana na habari za kuoa single mother. Mbona wasichana wapo wengi tu?
 
Kuwasikiliza wazazi ni muhimu. Kuna laana ukikaidi hasa wanapo kushauri jambo jema kwako au kwa jamii.
Curse is real.
 
Mkuu acha ubishi, single mother ni red flag. Fumbo la mustakabli wa mahusiano isiwe sababu ya wewe kubet kwenye red flag.
Yeye anasema hata wasio single wanatoa fresh tu ila ni bora hao kuliko single mother unapata maumivu mara mbili yake kumbuka umemsomesha mtoto wake alafu unagundua anakucheat na yule yule baba watoto wake ambaye alikuwa achangii chochote kwa mtoto wake na akishaona mtoto kafika mazingira mazuri anajileta hivi hayo maumivu yatakuwa ya kiasi gani
 
Kuna mmoja nilishakuwaga nae ni ana mdomo balaa anampenda kimboto balaa..

Sasa hivi kashaolewa zaidi ya mara 4 na kuzalishwa tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…