Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

hiyo ndio mbaya, kila mtoto unakuwa na wasiwasi naye kwamba umechanganyiwa mbegu.

lakini lazima tuelewane hapa hawa single mazas ni easy going, mkikorofishana kidogo anakumbuka baba watoto wake, utasikia "pamoja na kuniacha lakini hajawahi nifanyia hivi" ukisikia kauli hapo ni nyuma geuka mbele tembea
Kweli
 
Hapa nina ushahid nalo kabisaaa..... Kuna mzaz mwenzang tulishatengana kitambo ila tunawasiliana vzr tu na anaishi na mtu mwingine. Kuna siku alinipgia cm usiku saa tano akanambia nakuja kwako ila kwa maongez nkaona hayupo sawa nkamkubalia akaja akazima cm akanambia kam kwao wakipga cm kumuulizia niseme sijui akanambia kuna mtu kamtibua wamegombana sas najua anaish na jamaa yake je alogombana nae nan ikiwa ndiyo anakaa nae nkasema sawa ila ikipgwa cm kwao ntawapa tu ukwel kuwa yupo wapi nkaja kugundua baadae aligombana na uyo jamaa yake na nilipewa penzi tamu balaa.
Daaaaaaah
 
hiyo ndio mbaya, kila mtoto unakuwa na wasiwasi naye kwamba umechanganyiwa mbegu.

lakini lazima tuelewane hapa hawa single mazas ni easy going, mkikorofishana kidogo anakumbuka baba watoto wake, utasikia "pamoja na kuniacha lakini hajawahi nifanyia hivi" ukisikia kauli hapo ni nyuma geuka mbele tembea
Eeh hii kauli mie sijawahi isikia. Kum e wanakuwa na maneno mbofu mbofu hivyo🤔🤔🤔🤔
Shida nayo mbususu zao tamu sasa sijui tufanyeje jameni
 
Mkuu kumbuka, kuoa asie single maza haikupi quarantee ya kutochapiwa.
Mr. Sound Bora hiyo haitakuumiza sana ila kwa single mother utapata maumivu mara mbili we imagine unamsomesha mtoto wake mpaka anakuwa mkubwa kwa gharama nyingi hapo huna mtoto wako alafu unagundua anakucheat na yule yule aliyemzalisha na huduma ya mtoto alikuwa atoi
 
Wazazi wengi ukiwadokeza, unataka kuoa single maza, reaction yao hua si nzuri hata kama wao ni single parent.

Rafiki yangu karibuni, alinambia aligombezwa na wazazi wake, baada ya kuwaambia anataka kuoa single maza. Yeye anaamini ni mtu sahihi coz ktk miaka 2 ya mahusiano yao, hajaona tabia mbaya, pia anadai ameplay part kubwa kukuza biashara yake.

Mimi nimemshauri afuate moyo wake, coz kuoa asie single maza, haikupi quarantee ya kutopigwa matukio.

Kwa mtizamo wako, unadhani kwa nini wazazi hawataki, tuoee single maza, hasa ikiwa ndoa ya kwanza?
Ukitaka kuepuka matatizo achana na habari za kuoa single mother. Mbona wasichana wapo wengi tu?
 
Kuwasikiliza wazazi ni muhimu. Kuna laana ukikaidi hasa wanapo kushauri jambo jema kwako au kwa jamii.
Curse is real.
 
Mkuu acha ubishi, single mother ni red flag. Fumbo la mustakabli wa mahusiano isiwe sababu ya wewe kubet kwenye red flag.
Yeye anasema hata wasio single wanatoa fresh tu ila ni bora hao kuliko single mother unapata maumivu mara mbili yake kumbuka umemsomesha mtoto wake alafu unagundua anakucheat na yule yule baba watoto wake ambaye alikuwa achangii chochote kwa mtoto wake na akishaona mtoto kafika mazingira mazuri anajileta hivi hayo maumivu yatakuwa ya kiasi gani
 
Kuna mmoja nilishakuwaga nae ni ana mdomo balaa anampenda kimboto balaa..

Sasa hivi kashaolewa zaidi ya mara 4 na kuzalishwa tofauti
 
Back
Top Bottom