MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Kulisha watu wa kuitwa binadamu sio mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujamaa vs ubepari -population increase
ni kweli raha sana kuishi maisha ya jumuiaSema Mimi maisha ya kukaa na ndugu naona ndo maisha bora sisi tumefunzwa hivyo naona faida sana you can't go broke easily maana mnaishi kwa kusapotiana.
ni kweli raha sana kuishi maisha ya jumuia
Sio zamani Sanaa enzi ya mkapa hapo 1995_2005Zamani uchumi ulikuwa imara.hapakuwa na mfumuko wa bei kama ilivyo Sasa.mfano zamani shilingi miambili unanunua debe la mahindi.
Sahihi mkuu.Kweli kabisa Mimi ni miongoni mwa walio lelewa na ndugu sisi jumla tulikuwa 15 hivi sio siri tuliishi Kwa furaha na upendo wa hali ya juu
Sahihi mkuu.
Hata hivi leo mimi binafsi natamani maisha yale ambayo nilikulia.
Unaishi kwemye nyumba na.
Baba
Mama
Dada
Shangazi
Mamdogo
Mdogo wako
baba mdogo
Mjomba.
Unakuta nyumba ina furaha na amani.
Sijui ule upepo umeenda wapi aiseee
Huo upepo bado upo, dunia kubwa ndio maana huko uliko wewe haupo, ila nilipo mimi ndio tunaishi hivo, hata kama sio nyumba Moja lakini ni ndani ya kijiji kimojaSahihi mkuu.
Hata hivi leo mimi binafsi natamani maisha yale ambayo nilikulia.
Unaishi kwemye nyumba na.
Baba
Mama
Dada
Shangazi
Mamdogo
Mdogo wako
baba mdogo
Mjomba.
Unakuta nyumba ina furaha na amani.
Sijui ule upepo umeenda wapi aiseee
Mbona inasemekana zamani maisha yalikuwa magumu sana, watu walikuwa wakivaa kaniki na suruali zilizotoboka?!
Kwamba watu TV walikuwa wanaangalia kwa jirani
Kumiliki hata IST wewe ni tajiri mkubwa
Uko sahihiZamani chakula hakikuwa cha kununua.. Sehemu kubwa kilitoka kwenye mashamba na bustani za familia
Wajomba walipoanza kiwanajisi watoto wa mwenye nyumba watu wakapoteza imaniSahihi mkuu.
Hata hivi leo mimi binafsi natamani maisha yale ambayo nilikulia.
Unaishi kwemye nyumba na.
Mimi
Baba
Mama
Dada
Shangazi
Mamdogo
Mdogo wako
baba mdogo
Mjomba.
Unakuta nyumba ina furaha na amani.
Sijui ule upepo umeenda wapi aiseee.
mambo yangu yakikamilika nitahakikisha nahodhi ndugu na kuwavuta tukae pamoja hata karibukaribu kuna baraka nyingi sana kuunga undugu.
Na katika vitu vinavyosabaisha upendo kupotea baina ya Nfugu ni kul kuishi mbalimbali.
Mkitaka kupendana ndugu ishini karibu na hata watoto wenu wacheze pamoja na wakue pamoja bila shaka magomvi baina ya ndugu yatapungua