Kifo ni jambo linajulikana kuwa kipo tu na hakiepukiki. Tena ukiwa mzee ni kama tunda lililoiva, linatarajiwa kuvunwa muda wowote. Nadhani walipaswa waishi wakijua jua limeshazama hapa muda wowote safari na hakuna cha kupoteza. Kifo inatakiwa isiwe habari ya kushtua kabisa kwao.........ajabu iliyoje wao ndio wanakiogopa mnoVijana wanaona kifo kipo mbali sana na wazi hukiona kifo kipo karibu na huogopa sana
Hata vijana wana ogopa pia. Kifo hakizoeleki, na hasa mtu anaweza ni wapi huko anapokwenda. Wazee kwa kuwa mwili umechoka kinga za mwili zimepungua na viungo vimechoka wao wanajiona si wa kuishi muda mrefu. Japo kifo ni siri.Habari wana JF,
Katika uzoefu wangu na utafiti usio rasmi nimegundua watu wazima hasa wazee waliozeeka haswaaa, ni waoga wa kifo kuliko vijana...
Kifo ni jambo linajulikana kuwa kipo tu na hakiepukiki. Tena ukiwa mzee ni kama tunda lililoiva, linatarajiwa kuvunwa muda wowote. Nadhani walipaswa waishi wakijua jua limeshazama hapa muda wowote safari na hakuna cha kupoteza. Kifo inatakiwa isiwe habari ya kushtua kabisa kwao.........ajabu iliyoje wao ndio wanakiogopa mno
Naam, na hapo ndipo kwenye mada husika. Kwanini wao wanaogopa sana?Hata vijana wana ogopa pia. Kifo hakizoeleki, na hasa mtu anaweza ni wapi huko anapokwenda. Wazee kwa kuwa mwili umechoka kinga za mwili zimepungua na viungo vimechoka wao wanajiona si wa kuishi muda mrefu. Japo kifo ni siri.
Kuhusu wao kuogopa zaidi hili ni jambo jingine
Subiri ufikishe miaka 70+ uje tena na hii thread ya kipuuzi.Habari wana JF,
Katika uzoefu wangu na utafiti usio rasmi nimegundua watu wazima hasa wazee waliozeeka haswaaa, ni waoga wa kifo kuliko vijana...
Mimi huwa sioni kama wanaogopa sana. Vijana ndio wanaogopa zaidi kama akijua kuwa hata ishi mda mrefu.Naam, na hapo ndipo kwenye mada husika. Kwanini wao wanaogopa sana?
Amefanya bullying kwa wazee sioSubiri ufikishe miaka 70+ uje tena na hii thread ya kipuuzi.
Bila shaka wewe unasubiri urithi
Punguza makasiriko mzee, kwani una umri gani?Subiri ufikishe miaka 70+ uje tena na hii thread ya kipuuzi.
Bila shaka wewe unasubiri urithi
It's just a matter of psychology.Jaribu kukaa siti ya mbele kwenye gari ya magazeti inayokwenda mwanza, ukiweza kuvumilia na kurelax ule mwendo then utaweza kuelewa wanachopitia hao wazee na kwann wanakuwa waoga.
Ukishajua utamu wa maisha, ni vigumu kuuachaSasa kama walishajitafuta na kujipata, kwanini wanaogopa sana kifo? Hawa hawana cha kupoteza.