MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #21
Kuna Mzee namfahamu sasa yupo in 80's zake Kaoa Mwanamke wa 30's Kazaa nae ila Mmoja wa Mshenga wake anamsaidia Kazi Kuu ya Kitandani.Kwa kweli hapana, hivi mwisho kwa mwanaume huko kitandani si miaka 70 au?? ππ... mimi sidhani wanaoaga wakiwa na akili timamu, au upweke unawasukuma kutaka kuoa tena??? Ndio maana familia nyingine zina intervene kwenye mali sababu sidhani kama mtu yuko above 70 anaoa akiwa na akili zake timamuππ, Sijui lakini
Kwa kweli hapana, hivi mwisho kwa mwanaume huko kitandani si miaka 70 au?? ππ... mimi sidhani wanaoaga wakiwa na akili timamu, au upweke unawasukuma kutaka kuoa tena??? Ndio maana familia nyingine zina intervene kwenye mali sababu sidhani kama mtu yuko above 70 anaoa akiwa na akili zake timamuππ, Sijui lakini
Na nasikia Wazee kama hawa hata katika Zoezi zima la Kurogwa na Kurogeka kwa Kuzeeka Kwao hata Dawa za Ndumba huwa zinawakolea upesi.Kuna mzee jirani yangu hapa kaoa mwanamke 30' Kama mke was 3, ila kwa bahati mbaya kanamperekesha sana kiasi kwamba mzee akija hapa anaondoka na stress tu. Mara kwamwambie tuachane, Mara kamtishie kuwa kataenda nje ya ndoa na Visa kibao
Sijajua Nini kimdtokea Ila yule mzee anakaribia mwezi sijamuona akija.
Sometimes Hawa wazee wanakufa kwa stress
Sabb ya ulaji chips...Nadhani life style nayo inachangia hasa hawa wazee wa mjini, nguvu zinawaishia mapema.
Wee chukua slay queen ufurahie pisi kali siku zako za mwishoni hapa duniani.Kama upweke unakusumbua tafuta mwanamke mtu mzima anaejielewa, sio slay queens, hofu ya kuwa cheated na mrembo wako inatosha kukupeleka kaburini π³βοΈπ
Wanawake ni wachawi sana ni usipime, akigusa tuu ndumba inatiki kiuchawi na ' me' huponi. hii nimefundishwa na kupewa na Bibi yangu mzaa Baba.Kwa kweli hapana, hivi mwisho kwa mwanaume huko kitandani si miaka 70 au?? ππ... mimi sidhani wanaoaga wakiwa na akili timamu, au upweke unawasukuma kutaka kuoa tena??? Ndio maana familia nyingine zina intervene kwenye mali sababu sidhani kama mtu yuko above 70 anaoa akiwa na akili zake timamuππ, Sijui lakini
Nakubali mkuu! kwanza mtoto mdogo ataanzia wapi kunirostisha kila kitu najua!!! hata km wakipiga si atapiga mmoja tu au wawili tu na ntajua! napiga beat!!Wee chukua slay queen ufurahie pisi kali siku zako za mwishoni hapa duniani.
Ni ujinga kuwa na uwoga eti ata cheat...kugegedwa mwanamke hilo ni jambo ambalo halipo mikononi mwako hivyo unapoteza muda kuliwazia
Ulikuwa unajua siku zao za kufa kama wasingeona wadogo? Mstari mwekundu hauvukwi!Mifano ya Kichwa changu cha Habari ipo mingi tu ndani na nje ya Tanzania ila kwa Tanzania naona hali hii inaongezeka kila Uchao tu na Kututishia.
kweli kabisa wacha wapige tuu maana mie mwenyewe sitamgegeda yeye peke yake wakati pisi kali zimejaa mtaani huku mchawi akiwa pesa tuu. suala la mwanamke kugawa papuchi kwa kidume mwengine hilo by default litatokea tuu so no need o stressNakubali mkuu! kwanza mtoto mdogo ataanzia wapi kunirostisha kila kitu najua!!! hata km wakipiga si atapiga mmoja tu au wawili tu na ntajua! napiga beat!!
Kweli kabisa maana vibinti vina onyesha ufundi wote,wewe mzee uendani na Biti so kinachofuata ni kifo tuLabda wanashindwa kiendana na kasi ya awamu ya mabinti husika. Maana sometimes mabinti hujituma zaidi ili wazee wawainguze kwenye urithi, kumbe ndio wanawamaliza kabisa....
Kuoa binti mdogo jiandae kuchapiwa.kuna Dr mmoja kaoa binti mdogo,miaka Kama nane imepita,binti analiwa na kijana wa umri wake na mzee akiwa shift za usiku,binti anaenda kumfariji kazini,kumbe ndo muda anaenda kupata night glory kwa kijana wake.life is a threat based on your decision.Kuna Mzee namfahamu sasa yupo in 80's zake Kaoa Mwanamke wa 30's Kazaa nae ila Mmoja wa Mshenga wake anamsaidia Kazi Kuu ya Kitandani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo ukweli wenyewe.Labda wanashindwa kiendana na kasi ya awamu ya mabinti husika. Maana sometimes mabinti hujituma zaidi ili wazee wawainguze kwenye urithi, kumbe ndio wanawamaliza kabisa....
100%Madada wa 30's wakipata "BONGE LA BWANA" aka PDG huwa wanajituma sana kwa malavidavi ,sasa wazee wetu wanashindwa kuendana na kasi ya madada hivyo inawalazimu waanze kutumia MUNDENDE aka PUTURU aka VUMBI LA CONGO ,VIAGRA aka ERECTO wakati tayari wana pressure,visukari,cholesterol mwilini na matokeo yake ni KUZIMA JUU YA KIFUA.
Mwanamke miaka ya 30s manake ni nuksi tupu kwa asilimia kubwa. Hajaolewa miaka yote hadi kufikia 30s, wanaume wote wamemkimbia ww unajiingiza tu? Pia wanajua sana kukuingiza kwenye 18 ya mapenzi sababu wana uzoefu mkubwa sababu wameshakuwa na wapenzi wengi. Ila ukishaingia tu, na ukaanza kubadilika, lazima akuondoe umbakishie mali yeye. Wengi wanauawaMifano ya Kichwa changu cha Habari ipo mingi tu ndani na nje ya Tanzania ila kwa Tanzania naona hali hii inaongezeka kila Uchao tu na Kututishia.
Tatizo nini!! ujue vitumbo vyao vizuri mno! vimiguu mtelezo vitamu mno! vipaja ndo usiseme! visura utadahni wamepiga pasi hivi km Rebeca 83,Kama upweke unakusumbua tafuta mwanamke mtu mzima anaejielewa, sio slay queens, hofu ya kuwa cheated na mrembo wako inatosha kukupeleka kaburini π³βοΈπ
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwamba vijana tunaresist kidogoNa nasikia Wazee kama hawa hata katika Zoezi zima la Kurogwa na Kurogeka kwa Kuzeeka Kwao hata Dawa za Ndumba huwa zinawakolea upesi.