Kwanini Waziri Mkuu hajatambua uwepo wa Mume wa Rais? Protokali ipoje?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Mhe. Waziri Mkuu ametambua uwepo wa viongozi mbalimbali uwanja wa Uhuru huku akisoma list, lakini katika list hiyo Mme wa Mhe. Rais ajatajwa kama tulivyozoea wake wa viongozi wakitajwa katika hafla mbalimbali. Je amepitiwa au protokali haitambui nafasi yake? Au Mhe. Rais ndiye mwenye dhamana kumtaja na kutambua mwenza wake?

Naomba ufafanuzi kwenye hili?
 
Mme wa Rais alikuwepo uwanjani? Nani alimtambulisha?
 
Mhe. Waziri Mkuu ametambua uwepo wa viongozi mbalimbali uwanja wa Uhuru huku akisoma list, lakini katika list hiyo Mme wa Mhe. Rais ajatajwa kama tulivyozoea wake wa viongozi wakitajwa katika hafla mbalimbali. Je amepitiwa au protokali haitambui nafasi yake? Au Mhe. Rais ndiye mwenye dhamana kumtaja na kutambua mwenza wake?

Naomba ufafanuzi kwenye hili?
Labda hamjui
 
Back
Top Bottom