johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ila naona Prof. alipo sasa anafit sana, sijui kwa nini mwendazake alifanya ile exchange ya Mahiga na Prof. , yalikuwa mabadiliko ya ajabu sana.Je ethics za kidiplomasia zinaruhusu hicho kitu? Kabudi sio mwanadiplomasia
Kwa sasa ni $25 bwashee!Bora anyamaze afanye kazi kuliko tuliyokuwa tunaambiwa ilhali ni uongo na uzandaki mtupu.
Naona siku hizi ni "kazi iendelee" na sio "maendeleo hayana chama"
Taratibu mtapoa tu daadadeki zenyu. Buku 7 bado zinatoka?
Symbion!Marekani wana project gani huku tanzania nje ya kugawa Dawa za uzazi wa mpango ? Balozi alifanya vizuri kuongea machache.
Ufisadi mtupuSymbion!
China ndio rafiki wa kweli!Mnataka kuambiwa ili mjue kwani hii nchi yenu? Karaghabao. Mnategemea nn kutoka kwa wamarekani ama masharti yao na masrahi yao mnadhani vimebadilika?
John my comrade, it was once heard the Chinese had jointly been allegedly to have taken their part over the death! And this is undoubtedly upon a filth project the Bwagamoyo bandari, as such .. I just meant, never trust a man!China ndio rafiki wa kweli!
Huyo Kabugi kaharibu kazi ndiyo maana akatolewa hapo.Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.
Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.
Kazi Iendelee!
Unataka aige upuuzi wa yule chokoraa!!Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani.
Ufafanuzi mrefu unasaidia kubaini janjajanja za hawa mabeberu.
Kazi Iendelee!
Mahiga alikuwa hajui kusifu na kuremba wala hakusema ametoka jalalani, ila Kabudi mpaka akamuita mwendazake mh. munguIla naona Prof. alipo sasa anafit sana, sijui kwa nini mwendazake alifanya ile exchange ya Mahiga na Prof. , yalikuwa mabadiliko ya ajabu sana.