Kwanini Waziri Mulamula akimaliza kuongea na Mabalozi wa nje huwa hatupi ufafanuzi kama alivyokuwa akifanya Profesa Kabudi?

Kuna tofauti baina ya weledi na propaganda... tofauti zaidi ni baina ya kujiamini na kutojiamini... saa zingine kuaminisha "uongo" ili ufanane na ukweli hubidi maelezo yawe marefu na sauti iwe kali huku macho yametumbuliwa...
 
Huyo mama ni PRO,she is the professional diplomat,she is experienced operator in foreign affairs,sio kila kitu kinasemwa,
Kabudi wa jalalani,ni Mwalimu tu, hajuhi chochote kuhusu diplomasia ndio maana alikuwa anatuambua macho tu kama Ustaadh kapigwa dole
 
Reference nzuri ya Waziri wa Mambo ya Nje ni Jakaya Kikwete, Hayati Benjamin Mkapa na Hayati Ahmed Hassan Diria sio Palamagamba Mtanzania mwenye asili ya Dodoma!

Mula mula anafanya kama walivyokuwa wakifanya Magwiji hao niliowataja
Pamoja na kuwa shemeji yake mzee Ruksa lakini Diria alikuwa Waziri anayejitambua, nilimkubali sana!
 
Sure Kabudi ni takataka kabisa
 
Kabudi ni mpenda sifa, anataka credit hata kwenye masuala madogo. Kuongea na mabalozi ni daily duty ya Waziri wa Mambo ya Nje lakini kwa kabudi anatumia kama njia ya kufanya propaganda kumbuka jinsi alivyoutumia mkutano wa SADC ambao ulikuwepo kiutaratibu lakini alifanya uonekane ameuleta yeye na boss wake kwasababu wanapendwa sana.
 
Hahahaaaa..... SADC!
 
Yanaongelewa mambo ya Kimataifa, mambo makubwa sasa wewe Ubongo wako umezoea kusikiliza Uchambuzi wa Dr Kumbuka na Mwijaku si kukuonea.
 
Awamu ya 5 ilikuwa ya propaganda za uwongo kwaajili ya kuwahadaa wajinga. Ilikuwa ni awamu ya maneno mengi, matendo kiduchu.

Tunataka serikali ya maneno kidogo, yaache matendo yaongee.
 
Kila Awamu ina haki ya kuwa tofauti na iliyopita.

Huyu mama ni gwiji wa masuala haya ya diplomasia. Ataweza sana kujenga taswira chanya kwa taasisi za kimataifa.
 
Mnataka kuambiwa ili mjue kwani hii nchi yenu? Karaghabao. Mnategemea nn kutoka kwa wamarekani ama masharti yao na masrahi yao mnadhani vimebadilika?
Kwa hiyo mama waziri anaona aibu atatuelezaje watanzania matakwa ya wamrekani!?
====
Sisi Tanzania ni nchi isiyo fungamana na upande wowote (non aligned movement). Mama waziri asisahau hilo.
 
kwan wafuasi wa mwendazake wanasemaje
 
Mulamula anajitambua,sio kama alieokotwa jalalani survey
 
Kabudi hakuwa Mwanadiplomasia alikuwa anabagaza tu
Kwahiyo kukaa kimya ndio kuiva kidiplomasia au unamaanisha diplomasia ya jikoni kwamba tunyamaze tusubiri msosi mezani. Acheni ujuaji
 
Alifanya vile kumfurahisha mwendazake ambaye hakujua thamani ya mahusiano ya Kidiplomasia. Na wachache kama wewe ndio mlifurahi kwa upuuzi aliokuwa akiufanya.

Kama angekuwa anafanya vema kwenye hy wizara mama asingemwondoa, he was worthlessness.
 
Huo ndio utendaji wenye tija sio misifa ya nduli na tashwishwi kumbe chini ya kapeti uongo na uozo mtupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…