Kwanini 'Wazungu' hupambana sana ili Mgonjwa asife, lakini 'Waafrika' hujitahidi mno kufanya 'Maziko' ya Kifahari kwa Marehemu?

Mkuu, pole sana kwa kupoteza mzazi wako. Lakini mkuu vilevile kumbuka kuwa sio mzazi wako pekee ndiye aliyekuwa mgonjwa hapo Muhimbili. Ninajua fika wapo madakatari wa hovyo, lakini Muhimbili wanajitahidi sana wale jamaa. Wagonjwa ni wengi, miundombinu isiyo rafiki, daah.
 
Ni kwasababu watu weng wanapenda kujifaharisha mbele za watu aonekana ni msaada sana kwenye familia au anajiweza sana ktk jamii ndivyo watu wengi walivyo..
 
Africa unafiki unatusumbua sana tunapenda sifa ambazo hazina maana ili mladi tu tuonekane msiba wa fulani tulifanya jambo kumbe ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…