Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Mkuu, mtu kasema kuwa "hana pesa" sasa kwanini ulazimishe kuwa anazo?Ndugu wakiwemo pia watoto walikuwa wagumu kutoa pesa ya kumsafirisha mgonjwa kwenda kupata matibabu zaidi hospitali bora nje ya mkoa. Kila mmoja alisema hana pesa.