Ni kweli mkuu, tena hata vilema ukiwapisha kwenye foleni hawapendi. Wanataka wasubiri kama wengineSio kwamba ni wachoyo, wanaendesha mambo yao kwa utaratibu na mpangilio.
Sasa kama wameandaa mlo wa familia yao wakitegemea watakua watano, wataanzaje kukuhangaikia mtu uliyeenda bila taarifa?
Mbona wakiandaa mwaliko wanakua na chakula cha kutosha tu.
Vilevile unaweza kumlipia kitu asijisikie vizuri au akakushangaa, wengine wanakataa kabisa.
Hiyo ni kwa mujibu wa niliokutana nao mimi na kufanya nao kazi.
Ni kweli mkuu, tena hata vilema ukiwapisha kwenye foleni hawapendi. Wanataka cwasibiri kama wengine
Sio kwamba ni wachoyo, wanaendesha mambo yao kwa utaratibu na mpangilio.
Sasa kama wameandaa mlo wa familia yao wakitegemea watakua watano, wataanzaje kukuhangaikia mtu uliyeenda bila taarifa?
Mbona wakiandaa mwaliko wanakua na chakula cha kutosha tu.
Vilevile unaweza kumlipia kitu asijisikie vizuri au akakushangaa, wengine wanakataa kabisa.
Hiyo ni kwa mujibu wa niliokutana nao mimi na kufanya nao kazi.
Ni kweli, kama chakula wameandaa chao ukaenda bila taarifa , hesabu yako hamna uende umeshiba.

hata mimi mchoyo uwezi ukanikuta na kuku alafu vifinyango viwili paja na shingo.kudadeki na fichaNimebahatika kuishi na kufanya kazi na wazungu. Kwa kweli kichwa ya neema ya chakula waliyonayo wazungu ni wachoyo mno wa chakula.
Nilijufunza kusema hapana asante hata kwa kikombe cha chai. Hasa uingie ndani ya nyumba uwakute wanakula to ilhali hawajakualika kwa chakula.
Huku kwetu Kwamtogole mgeni akiingia wakati mnakula atakaribishwa mezani. Kama ugali hautoshi, mama ataenda jikoni kimya kimya kupika ugali mwingine.
Hii issue ilikuwa ina ni bore kama jiko ni la kuni na kuni si kavu ki vile. Moto utakusumbua sana kuivisha ugali wa ziada.
Haya nimeyaona sana Ulaya sifahamu tabia za Wamarekani.
Nimebahatika kuishi na kufanya kazi na wazungu. Kwa kweli kichwa ya neema ya chakula waliyonayo wazungu ni wachoyo mno wa chakula.

Hii nimekuelewa maana inawezekana mko kwenye shughuli ya kazi nyumbani kwake. Saa ya chakula anakuuliza the ulibeba chakula chako? Anaweza kukuruhusu utumie microwave yake. Vinginevyo anakuacha tu na kwabahati ukimuon ana jinafasi wala haoni aibu.Huwa wanasema "hand to mouth" ndio maisha yao wamechagua
Lakini wengi huwa wanaogopa unaweza ukawa allergy na chakula hicho ikawa mtihani kwao especially kuwapa watoto
All in all bado ni wabahili lakini ndivyo walivyofundishwa tangu utoto
Sent from my SM using Tapatalk
Nimebahatika kuishi na kufanya kazi na wazungu. Kwa kweli kichwa ya neema ya chakula waliyonayo wazungu ni wachoyo mno wa chakula.
Nilijufunza kusema hapana asante hata kwa kikombe cha chai. Hasa uingie ndani ya nyumba uwakute wanakula to ilhali hawaja
Hii issue ilikuwa ina ni bore kama jiko ni l
Haya nimeyaona sana Ulaya sifahamu tabia za Wamarekani.
Maisha yamewafundisha mkuu hata sisi tunaelekea huko...Nimebahatika kuishi na kufanya kazi na wazungu. Kwa kweli kichwa ya neema ya chakula waliyonayo wazungu ni wachoyo mno wa chakula.