Kwanini wazungu wakifuga ndevu wanaonekana ni watu kutoka Asia na Waarabu?

Kwanini wazungu wakifuga ndevu wanaonekana ni watu kutoka Asia na Waarabu?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hiki kitu nimeona sana nchi ambazo majasusi waliobobea wameweza kujiweka na ndevu ambazo si rahisi kujua huyu ni asia au mwarabu wakiwa na lengo lao.
Ina maana wazungu wanaweza kubadilika kwa ngozi nyeupe za asia na waarabu.
 
Kwa hiyo wanajipiga make-up!
 
Umeenda mbali sana, Hata hapa kwetu watu wakifuga ndevu hupewa jina la utani shehe 😂

Waarabu hupenda kufuga ndevu kama beberu, utafananishwa kwenye kundi la watu waliozoeleka kufanya kitu utachofanya
 
Ndevu ni Sunnah haswa kama umejaaliwa kuwa nazo nyingi

Lakini kama za kuokoteza bora kunyoa tu
 
Huku kwetu tunafuga kitu kinacholiwa hivyo vingine ni kupoteza Muda
 
Back
Top Bottom