Labda
namba 2 naweza kukubaliana nayo lkn
siyo namba 1, kwani Bara la Amerika lilikuwa na
advanced civilization klk kwetu Afrika, kama ulishawahi kusikia kuhusu
Maya Civilization ambapo walikuwa na kila kitu hata kuna mapiramidi walijenga kama ya Misri, hivyo siwezi kuamini kwamba sisi tulikuwa na Jeshi imara klk la Maya people kuweza kuwatisha Wazungu waliokuwa na vifaa vya kisasa vya kivita!
Piramidi za Maya Civilization
walijenga haya Majengo kwenye
karne ya 7
Hii ilikuwa nyumba ya Kiongozi wao au Ikulu
karne ya 7 huko kabla Muzungu hajatia mguu, waliweza kujenga majengo kama haya
Angalia hilo jengo na hizo
ngazi, watu wa
Maya walijenga kwenye karne ya
6/7 huko, sasa sidhani kama waliweza kujenga haya majengo karne ya 6/7 walishindwa kuwa na Jeshi imara klk sisi!