Kwanini wazungu wameshindwa kutokomeza kunguni Ulaya?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Ukistaababu kunguni wa UDOM utayaona mazito ya barani Ulaya hasa Ufaransa ambako kunguni wametamalaki hadi ndani ya vyumba vya ikulu.

Wazungu ndio wanajiona mababa wa sayansi. Waundaji na watengenezaji wa silaha hatari za kumwangamiza binadamu ndani ya sekunde moja tu.

Lakini pamoja na umwamba na majivuno aina zõte na makujijafe na kujimwambafai wanatolewa jasho na kunguni. Hii ni aibu kubwa kiasi gani?
 
Simple...
WACHAFU...HASA KIPINDI CHA BARIDI!
HAWAOGI WALA KUFUA NGUO!
 
Wazungu wanaweza kutafuta sababu zozote na kuwatetea, na wakafanya hivyo. Na wanaweza wakaandika sheria kwa lugha zao zile ngumu ngumu unaweza kudhani katunga Mungu. Utasikia Sheia inasema...!
Wazungu pumbavu sana
 
Hawa wadudu walinitesa ila juzi nikapewa dawa moja walikauka kama nini sijui yaani wakawa wagumu nikawa naokota vitu vyeusi natupa kwa sasa hakuna hata mmoja
 
Tafadhali sana share na sisi hio dawa kwa manufaa ya wengi. Asante sana
 
Tatizo wangu wanaleta uzungu mwingi na u professional usio na msingi, Wanasahau kunguni asili yao ni huku africa

Watumie

Mchanganyiko wa sabuni ya unga, mafuta ya taa na chumvi, wataleta feedback

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Tafadhali sana share na sisi hio dawa kwa manufaa ya wengi. Asante sana
Nenda duka la kilimo na mifugo ulizia sumu ya kuulia wadudù ambayo ukichanganya na maji inakua kama maziwa hivi (siijui jina sema ni maarufu) Changanya hiyo dawa na maji kwa kuzidisha kipimo yaani wakikwambia Mls 10 kwa lita moja ya maji wewe weka mara nne (lengo ni kufanya sumu kuwa kali sanaaa) spray kokote walipo kunguni asa kwenye kitanda na godoro na mashuka. Katafute pa kulala siku tatu kwani huwezi kulala ndani maana hiyo dawa inanuka ni kisanga. After 3 days hakuna mududu atakanya maeneo hayo for almost 3 years asife.
 
Ukistaababu kunguni wa UDOM utayaona mazito ya barani Ulaya hasa Ufaransa ambako kunguni wametamalaki hadi ndani ya vyumba vya ikulu.

Wazungu ndio wanajiona mababa wa sayansi. Waundaji na watengenezaji wa silaha hatari za kumwangamiza binadamu ndani ya sekunde moja tu.

Lakini pamoja na umwamba na majivuno aina zõte na makujijafe na kujimwambafai wanatolewa jasho na kunguni. Hii ni aibu kubwa kiasi gani?
Kunguni Ulaya wameongezeka kwa sababu ya wakimbizi wa Kiaraba na Waafrika kujazana huko
 
Back
Top Bottom