Kwanini wazungu wameshindwa kutokomeza kunguni Ulaya?

Ukistaababu kunguni wa UDOM utayaona mazito ya barani Ulaya hasa Ufaransa ambako kunguni wametamalaki hadi ndani ya vyumba vya ikulu.

Wazungu ndio wanajiona mababa wa sayansi. Waundaji na watengenezaji wa silaha hatari za kumwangamiza binadamu ndani ya sekunde moja tu.

Lakini pamoja na umwamba na majivuno aina zõte na makujijafe na kujimwambafai wanatolewa jasho na kunguni. Hii ni aibu kubwa kiasi gani?
Wale kunguni wamepelekwa na Waarab kule. We fikiria mtu anavaa magunia mwilini anashinda majangwani kukimbia kwenda Ulaya miezi na miezi bila kuoga, unategemea nini?
 
Halafu kwanini hawakimbilii nchi za Kiislamu wanaenda za Kikristo, wakilishwa kitimoto wanaanza kulialia.

Wakiulizwa wewe umefikaje hapa, kwanini usibaki kwenu? Wanajibu mimi ni shoga
 
Ukistaababu kunguni wa UDOM utayaona mazito ya barani Ulaya hasa Ufaransa ambako kunguni wametamalaki hadi ndani ya vyumba vya ikulu.

Wazungu ndio wanajiona mababa wa sayansi. Waundaji na watengenezaji wa silaha hatari za kumwangamiza binadamu ndani ya sekunde moja tu.

Lakini pamoja na umwamba na majivuno aina zõte na makujijafe na kujimwambafai wanatolewa jasho na kunguni. Hii ni aibu kubwa kiasi gani?
kunguni hawawezi kuisha ulaya kwa sababu wazungu ni wachafu sana,hauwezi amini,,ivi unajua ni wazungu wachache sana wanaoga??[wengi wao wanajifutia maji kwa vitambaa au taulo]..ivi unajua asilimia kubwa ya wazungu ni MAGOVI [kiasili hawana utaratibu wa kutairi, wachache wameiga AFRKA na ARABUNI]'''ivi unajua wazungu wengi hawafui nguo zao hasa wale wasiona na mashine za kufulia nguo??[ndio chanzo CHA NGUO ZA MITUMBA,na ndo manake huwa zinapuliziwa dawa kabla ya kufika huku,na ndo manake kuna watu wanakutaga pesa,leso na nyaraka mbalimbali kwenye mifuko ya hizo mitumba!!!!!]...mbaya zaidi, ivi unajua wazungu 80% HAWACHAMBI KWA KU2MIA MAJI????...wao ni mwendo wa TISSUE tu!!!,,,nayasema haya kwa sababu nilipata bahati ya kwenda moja ya nchi za huko,,ndo manake ata MZEE MAGUFULI alikuwa anataka kupiga marufuku NGUO ZA MITUMBA!!!!...unaambiwa 20% ya wazungu sababu moja wapo ya kuingiliana kinyume na maumbile ni kwa sababu kinyesi kinakuwa kimeganda makalioni{kwani tissu haiwezi kumaliza kinyesi chote,lazima kuwe na MPARAZO so makalio yanakuwa yanawasha}.......huwa nashangaa sana ninapoona wa2 wanawa2kuza hawa jamaa,sio wastaarabu kabisa!!!!!
 
Magovi, kuchamba, kunaletaje kunguni?
 
Back
Top Bottom