KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Kivipi mzee?dole gumba
Simple...Ukistaababu kunguni wa UDOM utayaona mazito ya barani Ulaya hasa Ufaransa ambako kunguni wametamalaki hadi ndani ya vyumba vya ikulu.
Wazungu ndio wanajiona mababa wa sayansi. Waundaji na watengenezaji wa silaha hatari za kumwangamiza binadamu ndani ya sekunde moja tu.
Lakini pamoja na umwamba na majivuno aina zõte na makujijafe na kujimwambafai wanatolewa jasho na kunguni. Hii ni aibu kubwa kiasi gani?
Duh. Halafu dada zetu ndio wanaona hao ni watu bora sanaSimple...
WACHAFU...HASA KIPINDI CHA BARIDI!
HAWAOGI WALA KUFUA NGUO!
Acha tu. Hasa wetu wa KISUKUMA!Duh. Halafu dada zetu ndio wanaona hao ni watu bora sana
Sio wasukuma tu kila kabilaAcha tu. Hasa wetu wa KISUKUMA!
Aibu mkuu...
DahWanalinda haki za wadudu. Wakiwaangamiza utaona wanaandamana.
Wazungu wanaweza kutafuta sababu zozote na kuwatetea, na wakafanya hivyo. Na wanaweza wakaandika sheria kwa lugha zao zile ngumu ngumu unaweza kudhani katunga Mungu. Utasikia Sheia inasema...!Dah
Hivi kunguni wana faida gani duniani?
Wazungu pumbavu sanaWazungu wanaweza kutafuta sababu zozote na kuwatetea, na wakafanya hivyo. Na wanaweza wakaandika sheria kwa lugha zao zile ngumu ngumu unaweza kudhani katunga Mungu. Utasikia Sheia inasema...!
Tafadhali sana share na sisi hio dawa kwa manufaa ya wengi. Asante sanaHawa wadudu walinitesa ila juzi nikapewa dawa moja walikauka kama nini sijui yaani wakawa wagumu nikawa naokota vitu vyeusi natupa kwa sasa hakuna hata mmoja
Nenda duka la kilimo na mifugo ulizia sumu ya kuulia wadudù ambayo ukichanganya na maji inakua kama maziwa hivi (siijui jina sema ni maarufu) Changanya hiyo dawa na maji kwa kuzidisha kipimo yaani wakikwambia Mls 10 kwa lita moja ya maji wewe weka mara nne (lengo ni kufanya sumu kuwa kali sanaaa) spray kokote walipo kunguni asa kwenye kitanda na godoro na mashuka. Katafute pa kulala siku tatu kwani huwezi kulala ndani maana hiyo dawa inanuka ni kisanga. After 3 days hakuna mududu atakanya maeneo hayo for almost 3 years asife.Tafadhali sana share na sisi hio dawa kwa manufaa ya wengi. Asante sana
Hatari sana, haki za wadudu ndio Niishi kwa mateso?Wanalinda haki za wadudu. Wakiwaangamiza utaona wanaandamana.
Kunguni Ulaya wameongezeka kwa sababu ya wakimbizi wa Kiaraba na Waafrika kujazana hukoUkistaababu kunguni wa UDOM utayaona mazito ya barani Ulaya hasa Ufaransa ambako kunguni wametamalaki hadi ndani ya vyumba vya ikulu.
Wazungu ndio wanajiona mababa wa sayansi. Waundaji na watengenezaji wa silaha hatari za kumwangamiza binadamu ndani ya sekunde moja tu.
Lakini pamoja na umwamba na majivuno aina zõte na makujijafe na kujimwambafai wanatolewa jasho na kunguni. Hii ni aibu kubwa kiasi gani?
Si kweliKunguni Ulaya wameongezeka kwa sababu ya wakimbizi wa Kiaraba na Waafrika kujazana huko
Ecologia ina mambo mengi, Ukiua kila kitu iko siku utashindwa kuishi.Hatari sana, haki za wadudu ndio Niishi kwa mateso?