Kwanini wazungu wana historia na sisi Waafrika hatuna?

Kwanini wazungu wana historia na sisi Waafrika hatuna?

Mimi ni anthropologist mkuu
Mimi nilimuona Baba yake Babu yangu na alikua ana historia nzuri za zamani hizo ambazo hata kwenye vitabu hakuna!!..Nilienda Kigoma kijiji kinaitwa Mkanga kata ya ilagala pembeni ya mto maragalasi huko kuna wazee wanakupa historia ya ajabu!!..kuna sehemu ukienda hawajui kama kulikua na wakoloni ndani ya nchi hii
 
Mimi nilimuona Baba yake Babu yangu na alikua ana historia nzuri za zamani hizo ambazo hata kwenye vitabu hakuna!!..Nilienda Kigoma kijiji kinaitwa Mkanga kata ya ilagala pembeni ya mto maragalasi huko kuna wazee wanakupa historia ya ajabu!!..kuna sehemu ukienda hawajui kama kulikua na wakoloni ndani ya nchi hii
Historia za hearsay huwa hazidumu vizazi vingi tofauti na maandishi
 
Historia za hearsay huwa hazidumu vizazi vingi tofauti na maandishi
Yako maandishi huko kwao tembeeni nchi yenu mkapate history yenu!!.. serikali hautaki kwenda huko ndani ndani kuchukua historia hizi!!..Huko Shungubweni Mkuranga kuna historia na Hadi Leo watu wanaenda huko kuangalia na kufanya vitu!!...
 
Wakorea wana historia yao toka mwanzo wataifa lao kuwepo kipindi cha devine Jumong, wazungu hivyo hivyo wana story zao, mbona sisi waafrika hatuna hadithi zetu za mwanzo, au baada wa wazungu kututawala walichukua hadithi zetu? au wazee wetu hawakuwa na sehemu ya kuweka kumbukumbu?

sisi hadithi tulizonazo ni kutawaliwa tu hapo wazungu kuna mambo wameyaficha, pindi tukijuwa historia yetu tutafanya revolution tutawala dunia

story zao mungu mweupe shetani mweusi, hatuna historia tupo tupo tu kama mtoto yatima, wametuletea magonjwa kibao ila bado tunadunda, sisi endapo tukijua Historia zetu tuta fanya mapinduzi

Hakuna watu, taifa, bara, sehemu ambayo hawana historia.
 
Utasikia "Mimi na Yesu wangu mpaka mwisho" tangu lini asili ya Kiyahudi ikawa yetu? Badala ya kukumbatia imani yako ya asili unakumbatia imani ya kizungu. Wakristu mtanisamehe, hata Mimi ni Mkatoliki koko. Ila ninatafakari namna nilivyoamua kuchagua jina la kizungu na kushangilia kama zuzu.
 
Tribute to Marhum Sh. Abdullah Seif ( Linganaweka)


The Changing Faces of Racism - Maulana Syed Muhammad Rizvi
Jaffari Community Centre920 views25 Sept 2020
- Racism and its different forms throughout time and space - Islam's view on racism, and the examples of the Prophet and Ahlul Bayt - Recognizing and remmbering an African Shi‘a scholar, Shaykh ‘Abdullah Seif who passed away in Lindi, Tanzania, on 12th of September at the age of 81 - Marhum Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi was the pioneer of tabligh among the local African community, despite opposition by the Khoja community of the time -
1634921778243.png

Sheikh Abdallah Seif Linganaweka
He started gradually, and among his first converts and students was Marhum Shaykh Seif - They were sent for further studies to complete their hawza training - They then returned and served the cause of Shi'ism admirably, especially in southern Tanzania - Recounting a story of when this group was first leaving to study, and the racial prejudice they faced locally in Tanzania - Discussing the contrast to today, where there is more widespread support and unity, however there is still more work to be done on this front - Tying the concept of unity beyond race, to Karbala and the martyrs who stood together Friday Message Recited By: Maulana Syed Muhammad Rizvi Date: September 18th, 2020

Source : Jaffari Community Centre
 
Sheikh Jalala azungumzia historia ya umahiri wa Sheikh Abdallah Seif
  • Siri na Uzito wa kilemba cha Marehemu Sheikh Abdallah Seif
  • Uso wa Sheikh Abdallah Seif ulijaa alama za watu wenye haki
  • Ilmu na elimu ya Sheikh Abdallah Seif
  • Uongozi mzuri wa Sheikh Abdallah Seif
  • Sheikh Abdallah Seif aliliwa na ma- Shia wote kusini mwa Tanzania nyumbani kwao, Tanzania nzima, Iran, Iraq, Canada n.k
  • Msikilize Sheikh Jalala akitoa wasifu mzima wa Sheikh Abdallah Seif
 
Historia ya mtu mweusi pia ile mito mi nne kwenye kitabu cha mwanzo iko Afrika i thnk ni pishoni,gihoni na wa tatu ni tigre au Hidekel kwa baadhi ya tafsiri nao pia ulikuwa Afrika,picha no 2,so ni vizuri tukajifunza historia yetu b4 watu weupe hawajaja Afrika na kuigawa kwa matakwa yao kwenye kikao cha Berlin conference,hizo raman zipo kuanzia 1700 na baadhi za nyuma zaidi,
Screenshot_20211021-224346_Opera%20Mini%20beta.jpg
Screenshot_20211022-230306_PLAYit.jpg
 
Ukiacha misri na ethiopia the rest mlikuwa hamjui kusoma wala kuandika mpaka alipokuja mzungu na mwarabu,sasa utasndikaje historia na hujui kudoma wala kuandika
Karne ipi hiyo watu hawakujua kusoma n kuandika,kujifunza sio ujinga mda bado upo kajfunze ndgu
 
Kwa mfano ukifuatilia Biblia utagundua kuwa maandiko mengi yamebasr eneo la mashariki ya kati. Je! Asia, Africa ukiacha na Misri na Ethiopia ambazo zipo karibu na Mashariki ya kati, pia Amerika yote hazikuwapo? Kuna Jamii kama Wa-Aztec huko Mexico na Indians ambazo zina historia ya mamilioni ya miaka alafu unaambiwa Christopher Columbus ndio aligundua bara la Amerika. Mimi nadhani ukitaka kumtawala mtu ni muhimu kumsahaulisha asili yake ndo mana Afrika tupo weak sababu hatujui tulitoka wapi, tulikuwa na knowpedge kiasi gani, na nguvu kiasi gani? Hapo ndipo mzungu alituweza na bado atatuweza hadi tutakapo kumbuka sisi ni nani? Hii inaitwa mental slavery kina Bob Marley na Burning spear na wanaharakati kibao wenye asili ya afrika wamezungumzia.
Tuna ujinga flan hv,mfano watu wa wili wakiwa wezi halafu baada ya mda yule mmoja akataka kuacha bc ataonekana mmbaya ila yule mmoja hawezi kuona au kutafakari kwa nn mwenzie anaacha,anakuwa blinded coz anaamini katika uovu tu,wazee walilazimishwa kihistoria kuwa watumwa ila nowadays tu watumwa kwa kupenda kutokana na kulazishw kuikana asili na kupokea yasiyo asili n hayo mafundisho yameweka mizizi imara kabisa kwa kupitia hizi imani,
 
Acha kukaza ubongo bhana wazungu na jamii nyingi za ulaya na asia waliwai kutumia maandishi iliwasaidia kuhifadhi kwa muda mrefu sie huku tulikuwa tunasimuliwa tu hadithi ukumbuke usikumbuke shauri yako
 
Iraq ina historia kuanzia 5000 BC na hata huyo mzee Ibrahim alitokea huko Ur kwenye bonde kati ya Tigris na Euprates. Je huyu alikuwa ni mzungu. Waliweza kuandika na kuchonga na kuumba vitu ambavyo mpaka sasa vipo.

Sisi ukikuta chombo alichotumia babu mzaa babu yako unakichoma na ndo maana hatuna historia. Miti iliyotumika kuabudia na kutolea sadaka ilishakatwa na hakuna kumbukumbu ya wapi tuliabudu.

Angalia magofu yaliyopo Kilwa baada ya miaka 100 yawezekana hayatakuwepo na tutasema tulitawaliwa na wazungu wakati mwarabu kaingia hapa kalne ya 10.

Hadithi za mapokeo tulizokuwa tunasimuliwa na wazee wakati wa jioni tukikoka moto au wakati wa mvua, siku hizi hakuna sababu wazazi wapo bize na smati foni.

Waafrika hatukuwa na maandishi ila michoro. Waafrika ambao walikuwa na maandishi ni wahabeshi, wamisri ingawa wao walitumia michoro zaidi ya herufi. Sisi ilikuwa ni michoro ambayo hatukuweza kurithishwa hivyo haikuwekwa kwenye mapokeo.
Anza wewe, tulia na wanao kila jioni uwasimulie hadithi ulizorithishwa na wazazi wako au hata hekaya za Abunuasi.
hii stori yako ya uongo, haijawai kuwepo ni nadharia tu zilizotungwa na waliotunga dini..ni vigumu kuleta shahidi za kihistoria kwa kuleta maandiko ya dini,..dini ni nadharia za uongo..jikite kwenye kutoa mchango wa mada kwa kuweka evidence zinazojikita ktk real life, na sio hizo white superior stories...
 
shida sio kutokua na historia, shida ni kuwa jiulize kwann waafrika(black people)wamesambaa dunian kulko race yoyote ile

pia jiulize kwann waafrika wote wanafanana katk tamaduni,mila na desturi?

pia jiulize kwanini hata kidunia linapokua suala la kuongelea historia za afrika na kuhoji kuhusu dini, kunakuwa na uzito wa utoaji majibu ya maswali? yaan hata wale wabobevu wa dini na theologia hawajui, hata wale wasomi wakubwa wa mambo ya kale hawajui zaid ya kuleta nadharia zakitoto kabisa ambazo hazileti majibu ya uwakika.

jibu ni kwamba, Apo mwanzo Mtu aliumbwa barani afrika, na aliumbwa kwa udongo mweusi uliozalisha sanamu/kinyago chenye rangi ya asili, na kisanamu icho kikatiliwa pumzi ya uhai(roho) ndpo kikawa mtu mwenye nafsi hai.

mtu huyo ndye chanzo cha uzao wa watu wote pamoja na wanadamu wengine napoongelea binadamu, naamnisha kiumbe mwenye mfanano na mtu lkn si mtu kwakuwa kakosa sifa ya utu, yaan kiufupi ni hao white races

na baada ya muda mrefu jamii za hawa watu weusi zilizaliana kutoka garden ya dunia amby ilkuwa east afrika mpka ethiopia, na baadae kuja central afrika na baadae kupanuka kuja kuundwa kwa falme kubwa kama za misri ya kale, sudani na kushi, bila kusahau falme ya israel ya kale yaani central afrika ambayo ilijumuisha kabila 12 za wabantu na hawa ndyo jamii zote zenye lugha zinazofanana za kiafrika yaani kibantu na ndyo hawa wanaounda taifa teule la Muumba wa kweli,

ujio wa watu weupe dunian haukuwa mwema kwani ulkuja kwa bahat mbaya kwa lengo la kuitawala dunia na kumtesa mtu mweusi kwa kumtenga mbali na Muumba wake pia kumfanya kuwa fukara,

ushenzi huo waliufanya kupitia dini zao, aina ya uongozi, elimu uchwara, mila za kigeni, utandawazi, muingiliano wa damu kwa kuzaa na watu weusi ili kuleta machotara, magonjwa ya kutengeneza, mifumo ya kiuchumi na kijamii,

kupitia mambo hayo waliweza na wanazidi kuweza kuipotosha dunia kuhusu afrika,

historia ya afrika haianzi kama stori za biblia&Qur'an znavyoeleza

kidogo historia ya kisayansi inaweza kuproof historia ya afrika kwa kuwepo mabaki ya watu weus walioish dunian miaka mingi kabla ya whte races kuwepo,

kupitia nadharia za genetics ni vigumu kueleza historia ya dunia ilianza na white races kama dini zao znavyosema, maana binadamu mweupe hawez kuzaa kiumbe mweusi yaani mtu, bila yakuwepo muingiliano wa mtu mweusi na binadamu mweupe

pia mtu mweusi ni vigumu kuzaa binadamu mweupe.bioa ya muingiliano, kihivyo inatosha kabisa kuthibitisha kuwa Mtu wa awali hakuwa mweupe, lkn alikuwa mweus maana ushahidi upo, na pia ithibitike kuwa binadamu weupe hawakuwepo hapo mwanzo na hawatokani na uzao wa mtu mweusi, swali je wametoka wapi??? hili swali uliza unayemjua yeyotee hutopata jibu ng'oooo, yes hutopata zaid wataishia kukupa majibu yakipumbavu et mtu mweusi alisambaa dunia nzima na kusababisha mabadiriko ya rangi jambo ambalo si kwel, n ingekuwa hivyo basi hata watu weusi wa kipindi hiki wangekuwa wakibadirka pale waendapo izo sehem zao wanazosema wanabadirika wakienda.

kutumia shahidi za vitabu vya dini kuthibitisha historia za dunia ama afrika ni kupotosha ukwel, maana vitabu hivyo vimejikita ktk uongo ambao umebase kwenye kiwapa vipaumbele watu weupe kuwa ndio watu wa mwanzo kuumbwa huo ni uongo unaopingana hata na sayansi inayotoa ukweli na yenye shahid.

ni ngumu kueleza jambo hili kama upo ktk vifungo vya dini, siasa, elimu yakijinga, na upuuzi mwingine.

Afrika ndyo jamii yenye historia kongwe kulko jamii yoyote ile hapa dunian, kupata shahid za haya nisemayo waweza soma vitabu mbalimbali vya kihistoria na hata kuvichambua ivyo vitabu vyao vya dini vinavyojipinga vyenyewe, pia kupitia movies mbalimbali znazoonesha uhalisia wa matukio yalyokuwepo na yatakayokuja kuwapo, matukio haya huoneshwa na movies haswa za Hollywood kama avatar, black panther, avengers, na nyingnezo nying
 
Waafrika wengi hawapendi kusoma na kwa sababu hiyo sehemu kubwa ya historia haikuandikwa bali ilikuwa ni kwa njia ya masimulizi ya mdomo.
 
Back
Top Bottom