sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Ni jambo la kawaida unakuta kijana wa miaka 19 hadi 23 amesha Settle kwenye career yake, kwa mfano kijana wa kizungu kabla ya miaka 20 tayari ana hold computer certificate zenye kuheshimika like OSCP etc, na anafanya mambo makubwa, wakati huku kwetu unakutana na mwanafunzi wa Computer engineering miaka 20 ndio kwanza anaaza kujifunza HTML ni nini,
How do they choose their career path?
How do they choose their career path?