Hatari mkuu mbaba wa 24+yrs ndio anaanza kufundishwa kushika mouse eti halafu amalize miaka mi3 aende kutengeneza tovuti ya BRELAwakati huku kwetu unakutana na mwanafunzi wa Computer engineering miaka 20 ndio kwanza anaaza kujifunza HTML ni nini,
Tumecheleweshwa Sana ndugu zangu 😬😬Tumechelewa Sana.
Aisee..! [emoji23]Kwanini Waaafrika wanaanza kuwa mafukara wakiwa wadogo?
Jibu la swali hili fanya kinyume chake utapata jibu la swali lako