Kwanini website ya Tume/Sekretarieti ya ajira Tanzania (TPSRS) haipo kwenye freebasics.com ili kuwasaidia graduates wenye vipato vidogo?

Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100% Membe akisimama,Rais Magufuli atashinda kwa 98% ila wakisimamisha wengine Magufuli ni 100%.
 
Kwa nini umeniquote, mbona ulichoandika hakihusiani na comment yangu?
Huwa ninafuatiliaga sana maandiko yako humu. Wewe unaonekana huipendi CCM. Toka huko CHADEMA jiunge CCM.
 
Hawachelewi kuja kusema wapo kwenye mchakato wakati hata hili wazo hawakuwa nalo vichwani.
Lusinde: Mimi nilikuwa na Lissu Bungeni, hajawahi zungumzia maendeleo ni malalamiko tu na ndiyo maana nilikuwa namuita Malalamiko FC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…