Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Umeandika nini hiki mkuu?Pfsnubdkbhxxzc
K n
B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika nini hiki mkuu?Pfsnubdkbhxxzc
K n
B
Mafisadi walihujumu huduma zile ila sasa JPM anairudisha nchi pahala salama zaidi.Zimeenda wapi sasa, mbona hatuzioni leo?!
Hahaha huyo JPM ndio nani?!Mafisadi walihumu huduma zile ila sasa JPM anairudisha nchi pahala salama zaidi.
Rais wakoHahaha huyo JPM ndio nani?!
Hahaha usidhani kila mtu anaishi mbagala.Rais wako
I corrected you already.I stand to be corrected.
Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100% Membe akisimama,Rais Magufuli atashinda kwa 98% ila wakisimamisha wengine Magufuli ni 100%.Unafahamu kuwa freebasics.com inatumia muundo proxy server kupata internet.
Yaani server ya facebook inasurf tovuti unayoitaka kwa niaba yako, mabadilishano ya data yanakuwa kati ya wewe na freebasic server, na sio tena wewe na tovuti husika.
Kama ni hivyo usalama wa data zako unazotuma ukoje? Kumbuka ni facebook inc hii. Wazo hata halifai.
Kwa nini umeniquote, mbona ulichoandika hakihusiani na comment yangu?Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100% Membe akisimama,Rais Magufuli atashinda kwa 98% ila wakisimamisha wengine Magufuli ni 100%.
mhhh...Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100%
Huwa ninafuatiliaga sana maandiko yako humu. Wewe unaonekana huipendi CCM. Toka huko CHADEMA jiunge CCM.Kwa nini umeniquote, mbona ulichoandika hakihusiani na comment yangu?
sawa mkuu.Membe akisimama,Rais Magufuli atashinda kwa 98% ila wakisimamisha wengine Magufuli ni 100%.
Wewe unaonekana kama vile CHADEMA?Hahaha usidhani kila mtu anaishi mbagala.
Akiwa rais wako sio lazima awe rais wa kila mtu.
Nikuulize swali moja la msingi mkuu?Wewe unaonekana kama vile CHADEMA?
Uliza tu kaka. Kuwa huru.Nikuulize swali moja la msingi mkuu?
Wewe endelea kumuunga mkono Tundu Lissu wako lakini kaa ukijua JPM ndio kiboko yao.Umeandika nini hiki mkuu?
Asante Magufuli, Mungu akupe afya daima.Mafisadi walihujumu huduma zile ila sasa JPM anairudisha nchi pahala salama zaidi.
Vijana kama sisi ndio wazalendo Tumpe muda Rais Magufuli afanye mambo makubwa.Mafisadi walihujumu huduma zile ila sasa JPM anairudisha nchi pahala salama zaidi.
Lusinde: Mimi nilikuwa na Lissu Bungeni, hajawahi zungumzia maendeleo ni malalamiko tu na ndiyo maana nilikuwa namuita Malalamiko FC.Hawachelewi kuja kusema wapo kwenye mchakato wakati hata hili wazo hawakuwa nalo vichwani.
Unajua ni kwanini Dkt. Magufuli anamshinda Tundu Lissu?Mkuu, sasa mbona hizo computers na servers za serikali zote ninatoka ulaya? Internet yenyewe ni mali ya wazungu. Usalama wa data upo wapi hapa sasa?
Sijui mkuuUnajua ni kwanini Dkt. Magufuli anamshinda Tundu Lissu?