Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Unajua ulichokiandika?Huo ni uongo.
Polisi, Magereza na JWTZ Wana vitengo vyao vya intelligence na ni askari wenzao ambao hawahusiani ja TISS.
Ni sawa tu, na MP (Military Police) wa JWTZ huwezi kusema MP ni police.
Kwanza TISS mafunzo yao ni mepesi na ya kawaida tu, ndio maana wanaitwa Jeshi Usu Kama ilivyo mgambo, polisi, Magereza, Uhamiaji. Wanaojifunza silaha nzito ni JWTZ pekee
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania jeshi usu ni lipi na lipi?
Zile idara za kiserikali kama TANAPA, TFS, TAWA na Ngorongoro ndizo jeshi usu ambazo ziko chini ya jeshi la Uhifadhi. Ndizo jeshi usu ila police, Magereza na UHAMIAIJI sasa ni majeshi kamili.
Jeshi la wananchi wana kitengo kinacholink na TISS moja kwa Moja na kiko wazi kabisa.
Polisi wana kitengo cha kikachero kinajitegemea hakina link na TISS lakini nikufahamishe kitu ni kwamba TISS wana watumishi kutoka kila jeshi la nchi hii , na wengine wako kwenye taasisi za umma.
Mratibu mkuu ni GSO.