Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

Nilipokuwa mdogo nilikuwa najua Askari kanzu ni Polisi ila huwa anavaa Kanzu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
Mpaka leo bado wanavaa kanzu boss.
 
Peace upon ya'all,

Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko

Hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k wako katika kada ya afya (health sector) au walimu, wakufunzi wako kada ya elimu (education sector) au kama marubani, airhostess, astronuts n.k wako kada ya aviation ndivyo pia askari magereza, polisi, askari jeshi, mgambo na TISS wote ni kada ya ulinzi.

Kimsingi TISS ni kada ya ulinzi kundi moja, taaluma moja na mgambo wametofautiana juristiction chache ila wana mengi ya pamoja kuliko utofauti. Hata kimaslahi TISS ni wakawaida sana na wamepitwa na kada nyingi tu na hamna maajabu yoyote kwa hawa walinzi.

Kama reporting TISS officer analipwa 1,850,000 (1.8M) mbona ni kamshahara kadogo kuliko hata lecturer wa chuo cha umma achilia mbali daktari mwandamizi au hata tu mkandarasi wa electrical installation wa mradai wa pale Stigler anaelipwa zaidi ya 3M.

Ni ushamba tu wa Watanzania kuona ati walinzi hawa ni watu wa hadhi kubwaaaa, na ujinga huo ndio unawafanya watu kama Sabaya mwaka 2018 - 19 kujifanya TISS huku akisafiri bure, na kupata huduma katika mahotel makubwa bure akiwaonyesha kitambulisho tu.

Kitu ambacho hata angekua kweli ni TISS hakuna upendeleo wa kupata huduma bure hata sio kuproses invoice hapana kiprotokali afisa usalama anatakiwa kulipia huduma zote hata anapokua katika kutekeleza majukumu yake nje ya eneo lake labda vingvyo iwe argency ya serikali kama mabwalo ya jeshi na maduka ya idara au taasis za serikali.
Hao TISS wanapenda kunifanya wanajeshi mtaani wanatutishia sisi raia.
 
Aiseeeee.

Ila mbona matangazo yao ya kazi hayapo wazi kama wengine?

Kuna hawa na DCEA hakuna matangazo ya kazi.

Bora TAKUKURU tunaona.

Hawa wengine nini tatizo boss?
Wanakujaga vyuoni kutafuta employees

#YNWA
 
Shemeji yangu aliolewa na bro akidhani jamaa ni afisa usalama kumbe jobless hana kitu. Yaani kuja kushtuka tayari harusi tumekula na ana watoto mapacha. Ikabidi tu shem akubaliane na ukweli kuhusu mumewe. Bro ana mwili mkubwa na alikuwa na hizo pigo za kuvaa kaunda suti
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom