Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Hapa utasikia wanakuambia "kuna watu wanalisha familia kupitia hizo kazi za udalali sasa zikipigwa marufuku waende wapi", yani mwanaume mzima anaacha kutafuta kazi ya kueleweka analilia kula hela za wanaume wenzie burebure tu, kama mtu hajawahi kukutana na utapeli wa madalali anaweza akawatetea hao watuNi ujinga kulipia miezi ambayo huna uhakika wa kuishi kwenye hiyo nyumba.
Wizara yenye dhamana inapaswa kuliangalia hili upya, hata kumlipa dalali mwezi mmoja ni wizi...
Kumetokea wimbi la wenye nyumba kutaka Kodi ya miezi 6 kwa mkupuo wengine wanataka hadi ya mwaka mzima
Mkuu mara nyinyi wenye nyumba hufanya hivo ili wasisumbuane na mpangaji kila mwezi kodi kodi hata wew kuna unafuu ukishalipa kodi una relax kdg kufatilia mambo mengn
Issues sio capitalism tunataka haki itendekeWelcome to capitalism, nyumba yake, sheria zake...
Wewe kama hutaki hizo sheria, jipange ujenge mjengo wako...
Hiyo ni nadharia nyumba inaharibika VPNikupangishe mwezi mmoja kwa 150,000 au 300,000 ukitoka ushaharibu vitu kadhaa,mwingine akiingia lazima ufanye marrkebisho madogo
Hio 150k yako si itaishia kwenye marekebisho? Sasa hio si biashara kichaa?
Sheria ya serikali haitakiwi kuzidi miezi mitatu, miezi 6+ inaleta utulivu kwa mpangaji na mwenye nyumba.
Issues sio capitalism tunataka haki itendeke
Exactly well saidMaoni yangu
1.Suala la kulipa Kodi eidha kwa mwezi/miezi 6 au Mwaka 1 liwe hiari ya mpangaji mwenyewe,lisiwe suala la lazima kwa wamiliki wa nyumba!.
2.Madalali hawakwepeki kwasababu wanasaidia sana,lakini suala la dalali kulipwa liwe chini ya mwenye nyumba kwasababu yeye ndiye anamtafutia mteja hivyo mwenye nyumba ndiye anapaswa au awajibike kumlipa!.
3.Hayo mambo mawili yanapaswa kuwekewa mkazo na sheria kali!.
Bado sijajua serikali yetu inawasaidiaje wananchi wake kwasababu zimebaki porojo na siasa tu!.
Mengineyo!
1.Unakuta mpangaji akinunua umeme anakatwa ile kodi ya Jengo (Ilikuwa 1000 lakini sasa hivi ni 1500)
Hii kodi wenye nyumba nyingi hawahusiki nayo tena wakati majengo ni yao,huu mzigo unaenda kwa mpangaji ambaye nyumba si yake,sheria ilipaswa ipitishwe na iwe kali ya kwamba,hiyo kodi iwe ndani ya ile kodi ya mpangaji na mwenye nyumba ailipe yeye au kama mpangaji akiilipa basi mwenye nyumba amrudishie!.
Watanzania wengi wanapata mateso sana kwasababu serikali yao niyakisenge sana!
Mnamuendekeza faza/ maza house wenu.. yan mmekosa lugha ya kumpa? HeheeUnakuta mpangaji akinunua umeme anakatwa ile kodi ya Jengo (Ilikuwa 1000 lakini sasa hivi ni 1500)
Hii kodi wenye nyumba nyingi hawahusiki nayo tena wakati majengo ni yao,huu mzigo unaenda kwa mpangaji
Mnamuendekeza faza/ maza house wenu.. yan mmekosa lugha ya kumpa? Hehee
Wa kwetu anailipa ya mwaka mzima. Na anailipa kwa kutununulia umeme
Ushawahi kupanga au kupangisha familia yenye watoto wadogo wanaokua?Hiyo ni nadharia nyumba inaharibika VP