cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kuna wengine hawatakii miez 3, unalipa miez 6 au zaidi afu unapata dharura, harudishi pesa iliyobaki.Nikupangishe mwezi mmoja kwa 150,000 au 300,000 ukitoka ushaharibu vitu kadhaa,mwingine akiingia lazima ufanye marrkebisho madogo.
Hio 150k yako si itaishia kwenye marekebisho? Sasa hio si biashara kichaa?
Sheria ya serikali haitakiwi kuzidi miezi mitatu, miezi 6+ inaleta utulivu kwa mpangaji na mwenye nyumba.
Na ukisema utafute mtu wee mwenyewe ili ukate chako anakataa, sasa huu c utapeliii kabisaa.